Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguzeni wazee na makombo kutoka simbaHapana,ni kipindi tu,we fikiria kipindi cha nyuma kidogo,timu ilivyokua yamoto.
Ni hali tu ilitupata.
Cheza UMISETA yakoNenda huko wewe...simba imeshashiriki hyo club Bingwa back to back 4 good yrs...zezeta wa head...chura kiziwi wew...
Haijatofautiana sana na msimu ulioisha. Tumepunguza point moja tu kutoka kwenye msimu ulioisha lakini Yanga alifuzu.Yanga michezo 3 point 1....
Mbumbumbu acheni kuliakiufupi na uhakika ni kuwa utopolo ameshatoka,kwa hiyo mwakani tz itatoa timu mbili tu,azam na singida/tabora,wajipande vizuri.
Wacha mbumbumbu wakae usingiziniHaijatofautiana sana na msimu ulioisha. Tumepunguza point moja tu kutoka kwenye msimu ulioisha lakini Yanga alifuzu.
Ukweli unaumaaa pale unapoamua kukaza fuvu na watu walikuzidi experience kuliko wewe..yani ni kama unalamba matapishi....mmama mstaafu hoyeee...Cheza UMISETA yako
Tuache mabingwa tucheze na mabingwa wenzetu
Mbumbumbu mmechanganyikiwa
Wewe unahesabu points Bado mechi 3
Sawa mtani...Haijatofautiana sana na msimu ulioisha. Tumepunguza point moja tu kutoka kwenye msimu ulioisha lakini Yanga alifuzu.
Mama mstaafu hoyeeClub bingwa imechezwa Leo
Kesho 5imba wanacheza na wamama wa kiarabu
Umbumbumbuni Kuna shida ganiUkweli unaumaaa pale unapoamua kukaza fuvu na watu walikuzidi experience kuliko wewe..yani ni kama unalamba matapishi....mmama mstaafu hoyeee...
Mama mstaafu hoyeeeUmbumbumbuni Kuna shida gani
Mpo mashindano ya vikoba
Kesho mnacheza na sc Fuckin
Yaani mjue point 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano ya akina mama
Hayo mlikua hamyajui enzi simba inashirikia miaka 4 mfululizo...kwa sasa tunawazoom tuu...Umbumbumbuni Kuna shida gani
Mpo mashindano ya vikoba
Kesho mnacheza na sc Fuckin
Yaani mjue point 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano ya akina mama
😅😀🤣Hayo mlikua hamyajui enzi simba inashirikia miaka 4 mfululizo...kwa sasa tunawazoom tuu...
#mama mstaafu hoyee##
Tulikuwepo na tutarudi tena na tutaendelea kuwepo...😅😀🤣
Umenishinda tabia
We muha mbishi
Yaani upo UMISETA Bado unapata nguvu ya kusema CAFCL
Kesho wale wamama wa kiarabu wanawapiga kwenyee vikoba vyenu hukoTulikuwepo na tutarudi tena na tutaendelea kuwepo...
Kimekurambaaaa..Kesho wale wamama wa kiarabu wanawapiga kwenyee vikoba vyenu huko
🤣😀😅Kimekurambaaaa..
##mmama mstaafu##
Point 1 imekurudisha hewani5imba kesho anacheza Sc fuckin kutoka Tunisia
Shirikisho kwenye mashindano ya akina mama Kuna vituko