Yanga wameonesha ubinafsi na ukosefu wa ustaarabu wa hali ya juu sana

Yanga wameonesha ubinafsi na ukosefu wa ustaarabu wa hali ya juu sana

Ungeanza kuwalaumu TFF wanaotumia kanuni kuwafuwafungia na kuwakomoa viongozi wa Yanga.
Kifupi TFF haina mahusiano mazuri na Yanga, so usitegemee uungwana wowote inreturn...TFF kaingia mwenyewe cha kike, ajisahishe na ku take responsibility ktk hili.
Nani mwenye hasara sasa
 
Yanga kwa sababu ya kuwakomoa TFF wameamua kujificha nyuma ya kanuni kususia mchezo wao wa 08.05.2021 na watani wao simba. kitendo hiki si cha kistaraabu hata kidogo na sijui wanatarajia kufaidika na nini. Hivi TFF wakiamua kuishi kwa kanuni Yanga itabaki kweli?

on any direction, wakulaumiwa ni serikali haswa waziri alietoa tamko na TFF wakalifuata,
 
Kwani wewe ulitakaje kwani, kanunizivunjwe kwa kivuli cha Busara. Ujinga huo sheria zifuatwe ukiwa nakosa ubukumiwe kulingana na kosa.
 
on any direction, wakulaumiwa ni serikali haswa waziri alietoa tamko na TFF wakalifuata,

When PLO was once asked why he thinks Magufuli ranks as one of the best presidents, the famous law professor replied solidly: ^Magufuli had a clarity of vision that was underpinned by true patriotism. One thing among many that he has taught us is that IT MATTERS THE MOST WHO IS AT THE TOP -- leadership matters and Magufuli was its doctor. All African leaders should take a benchmarking tour under the tutorship of John Magufuli in order to learn the finer points of governance.^
 
Kwa vile TFF wameomba radhi kwa hiyo Yanga imepata point ngapi? TFF wamefanya hivyo kwa sababu ni wastaraabu ila wasiowastaarabu kama Yanga hawajamuomba radhi hata yule Mkazi wa Kigoma aliyekuja kwa miguu.
Mkuu ulilisikiliza tangazo la kubadirisha mda wa mpira samahani haikuwepo wala kuomba radhi.
 
Kanuni ya Ustaraabu, busara na hekima. Hivyo fikiria yule shabiki wa Yanga aliyetoka Kigoma kwa miguu halafu asione kilichomleta?

Ustaarabu kawafundishe waliobadili muda kinyume cha utaratibu.
 
Ustaarabu kawafundishe waliobadili muda kinyume cha utaratibu.
1620558230179.png

soma hiyo kanuni
 
Kubadili muda ni masaa 24 kabla ya mechi, na mazingira maalum yanaweza kubadili, je jana kulikuwa na mazingira gani maalum ya kusogeza muda wa mechi hiyo jana?
wewe hukuyaona kwa sababu unaona lakini hutizami
 
Yanga waoga sana walijua watakula hamsa wakaamua kukimbia. Kilichonichekesha et waliingia uwanjani wakafunga goli, sa unafungaje goli na hamna refa kwa hiyo wao jana ndo walikua marefa makamisaa na wachezaji.
 
Yanga wako sahihi. Tuzingatie sheria, kanuni na taratibu.
Yanga hawako sahihi. Tuzingatie sheria, kanuni, taratibu na busara nayo itumike. Hata huko mahakamani busara huwa zinatumika.
 
Yanga kwa sababu ya kuwakomoa TFF wameamua kujificha nyuma ya kanuni kususia mchezo wao wa 08.05.2021 na watani wao simba. kitendo hiki si cha kistaraabu hata kidogo na sijui wanatarajia kufaidika na nini. Hivi TFF wakiamua kuishi kwa kanuni Yanga itabaki kweli?
Huwa nakuona mtu wa heshima kumbe una mawazo ya jikoni kiasi hiki? Nyie Tanzania football failure kiama chenu kinakuja.
 
Yanga kwa sababu ya kuwakomoa TFF wameamua kujificha nyuma ya kanuni kususia mchezo wao wa 08.05.2021 na watani wao simba. kitendo hiki si cha kistaraabu hata kidogo na sijui wanatarajia kufaidika na nini. Hivi TFF wakiamua kuishi kwa kanuni Yanga itabaki kweli?
Yanga wanashindwa kuwafikiria hata Mashabiki waliotoka mikoani, watu wamelipia nauli, hela ya gesti/hotel etc lakini Yanga hawakujali hilo. Yanga wanadhani wamewakomoa tu TFF, hawajui kwamba hata Mashabiki wao nao wamekomolewa kwa utoto wao.
 
Ninachokiona hapa ni kama vita rasmi Kati ya TFF na hivi vilabu (Yanga/Simba) kuhusu matumizi ya kanuni inaenda kushika hatamu.
 
Yanga kwa sababu ya kuwakomoa TFF wameamua kujificha nyuma ya kanuni kususia mchezo wao wa 08.05.2021 na watani wao simba. kitendo hiki si cha kistaraabu hata kidogo na sijui wanatarajia kufaidika na nini. Hivi TFF wakiamua kuishi kwa kanuni Yanga itabaki kweli?
Kanuni zimewekwa kwanini kama hamuwezi kuzifuata? Anaejua kwanini game ilisogezwa mbele atujulishe tafadhali
 
Back
Top Bottom