Yanga wamesajili mafia

Ndicho tunachokiweza wema tuwaache wenye roho zao, halafu sio unaandika tu unamjua Mafia wewe? Usifikiri ni jina tu kama mnavyoitana baharia, maana nimekimbilia kusoma kumbe mwizi wa gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko uliko saa hizi unaugulia mimba changa aliyokutundika pale taifa 8 april
 
Sasa Kama nimetokea unataka yanga wamfanye Nini?? Kama si umbea na unafiki wa kuziba ridhiki ya watu,mwanaume akiwa anatafuta hukutwa na matatizo mengi hata yasiyo tarajiwa,kukutwa na kitu Cha wizi so kwamba lazima nawe umeiba,unaweza kununua kihalali kumbe Cha wizi ndo maana unaambiwa(walioko jela si waharifu wengine wamesingiziwa)hivi wewe Ni ke au me?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga tuliwaaambia tangu mwanzo mkadhani tunampakazia mchezaji wenu, ona sasa kinachowapata!
 
Ndicho tunachokiweza wema tuwaache wenye roho zao, halafu sio unaandika tu unamjua Mafia wewe? Usifikiri ni jina tu kama mnavyoitana baharia, maana nimekimbilia kusoma kumbe mwizi wa gari

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu njoo utueleze uppya jamaa yako keshapiga pessa na mkataba kaukana huko Jangwani....
Mchezaji kapigwa Ban baadhi ya Nchi sie tunaona Proffeshenoooo
 
Daaah huyo jamaa naona kama sooon atatakiwa na Vigogo wa soka Afrika kwa kiwango chake sio siri.
Mkuu karibu tena,vipi Bado unayo haya mawazo kuwa Morison soon atachukuliwa na vigogo wa soka Africa?
 
Mkuu karibu tena,vipi Bado unayo haya mawazo kuwa Morison soon atachukuliwa na vigogo wa soka Africa?
Mkuuu jasiri haaachi asili, mafia wa ukweli yule siyo wa mchezo mchezo anaweza kutoa kichapo muda wowote.
 
Mkuuu njoo utueleze uppya jamaa yako keshapiga pessa na mkataba kaukana huko Jangwani....
Mchezaji kapigwa Ban baadhi ya Nchi sie tunaona Proffeshenoooo
Nieleze nini mkuu wakati nasherehekea ushindi wa Jana, nilipomtetea nilijua labda watani wamejiridhisha kuhusu afya yake kichwani kumbe walimpapatikia, Ila sio Mafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…