Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAnajibu maombiiii x12....cha nguruwe jiji kimyaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAnajibu maombiiii x12....cha nguruwe jiji kimyaaa
Ndicho tunachokiweza wema tuwaache wenye roho zao, halafu sio unaandika tu unamjua Mafia wewe? Usifikiri ni jina tu kama mnavyoitana baharia, maana nimekimbilia kusoma kumbe mwizi wa gariHuko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.
Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
Huko uliko saa hizi unaugulia mimba changa aliyokutundika pale taifa 8 aprilKlabu yake ilikaa meza moja na aliyekuwa amefanyiwa Uhalifu wa kuibiwa Gari na Fedha, akalipwa chake akaenda Mahakamani kuiondoa kesi. Lkn huyu mchezaji na genge lake walipigwa ban huko South baada ya hii kesi kumalizwa kibabe au kimjini mjini.
Ungekua unakijua kizulu ningekupa Charts za Mashabiki wa Pirate baada ya hili tukio ungenielewa. Nimeleta kama tahadhari kwetu sote na sio Ushabiki, ni kitu cha kweli kimetokea.
Soma mtandao wa soka wa SA www.soccerladuma.co.za
tafuta huu mkasa wake utaupata kwa kina.
Morison pale alisimama tu kwa niaba ya mganga, Morisoni halisi ni huyu ni yule wa dhidi ya Namungo fcHuko uliko saa hizi unaugulia mimba changa aliyokutundika pale taifa 8 april
Sasa Kama nimetokea unataka yanga wamfanye Nini?? Kama si umbea na unafiki wa kuziba ridhiki ya watu,mwanaume akiwa anatafuta hukutwa na matatizo mengi hata yasiyo tarajiwa,kukutwa na kitu Cha wizi so kwamba lazima nawe umeiba,unaweza kununua kihalali kumbe Cha wizi ndo maana unaambiwa(walioko jela si waharifu wengine wamesingiziwa)hivi wewe Ni ke au me?Klabu yake ilikaa meza moja na aliyekuwa amefanyiwa Uhalifu wa kuibiwa Gari na Fedha, akalipwa chake akaenda Mahakamani kuiondoa kesi. Lkn huyu mchezaji na genge lake walipigwa ban huko South baada ya hii kesi kumalizwa kibabe au kimjini mjini.
Ungekua unakijua kizulu ningekupa Charts za Mashabiki wa Pirate baada ya hili tukio ungenielewa. Nimeleta kama tahadhari kwetu sote na sio Ushabiki, ni kitu cha kweli kimetokea.
Soma mtandao wa soka wa SA www.soccerladuma.co.za
tafuta huu mkasa wake utaupata kwa kina.
Mkuuu njoo utueleze uppya jamaa yako keshapiga pessa na mkataba kaukana huko Jangwani....Ndicho tunachokiweza wema tuwaache wenye roho zao, halafu sio unaandika tu unamjua Mafia wewe? Usifikiri ni jina tu kama mnavyoitana baharia, maana nimekimbilia kusoma kumbe mwizi wa gari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan Mkuu jana umemjua vzzuri MorrisonHapo kuna walakini fuatilieni mtandao huo
Mkuu karibu tena,vipi Bado unayo haya mawazo kuwa Morison soon atachukuliwa na vigogo wa soka Africa?Daaah huyo jamaa naona kama sooon atatakiwa na Vigogo wa soka Afrika kwa kiwango chake sio siri.
Mkuuu jasiri haaachi asili, mafia wa ukweli yule siyo wa mchezo mchezo anaweza kutoa kichapo muda wowote.Mkuu karibu tena,vipi Bado unayo haya mawazo kuwa Morison soon atachukuliwa na vigogo wa soka Africa?
Nieleze nini mkuu wakati nasherehekea ushindi wa Jana, nilipomtetea nilijua labda watani wamejiridhisha kuhusu afya yake kichwani kumbe walimpapatikia, Ila sio MafiaMkuuu njoo utueleze uppya jamaa yako keshapiga pessa na mkataba kaukana huko Jangwani....
Mchezaji kapigwa Ban baadhi ya Nchi sie tunaona Proffeshenoooo