Yanga wamesajili mafia

Yanga wamesajili mafia

Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.

Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
Ndicho tunachokiweza wema tuwaache wenye roho zao, halafu sio unaandika tu unamjua Mafia wewe? Usifikiri ni jina tu kama mnavyoitana baharia, maana nimekimbilia kusoma kumbe mwizi wa gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klabu yake ilikaa meza moja na aliyekuwa amefanyiwa Uhalifu wa kuibiwa Gari na Fedha, akalipwa chake akaenda Mahakamani kuiondoa kesi. Lkn huyu mchezaji na genge lake walipigwa ban huko South baada ya hii kesi kumalizwa kibabe au kimjini mjini.
Ungekua unakijua kizulu ningekupa Charts za Mashabiki wa Pirate baada ya hili tukio ungenielewa. Nimeleta kama tahadhari kwetu sote na sio Ushabiki, ni kitu cha kweli kimetokea.
Soma mtandao wa soka wa SA www.soccerladuma.co.za
tafuta huu mkasa wake utaupata kwa kina.
Huko uliko saa hizi unaugulia mimba changa aliyokutundika pale taifa 8 april
 
Klabu yake ilikaa meza moja na aliyekuwa amefanyiwa Uhalifu wa kuibiwa Gari na Fedha, akalipwa chake akaenda Mahakamani kuiondoa kesi. Lkn huyu mchezaji na genge lake walipigwa ban huko South baada ya hii kesi kumalizwa kibabe au kimjini mjini.
Ungekua unakijua kizulu ningekupa Charts za Mashabiki wa Pirate baada ya hili tukio ungenielewa. Nimeleta kama tahadhari kwetu sote na sio Ushabiki, ni kitu cha kweli kimetokea.
Soma mtandao wa soka wa SA www.soccerladuma.co.za
tafuta huu mkasa wake utaupata kwa kina.
Sasa Kama nimetokea unataka yanga wamfanye Nini?? Kama si umbea na unafiki wa kuziba ridhiki ya watu,mwanaume akiwa anatafuta hukutwa na matatizo mengi hata yasiyo tarajiwa,kukutwa na kitu Cha wizi so kwamba lazima nawe umeiba,unaweza kununua kihalali kumbe Cha wizi ndo maana unaambiwa(walioko jela si waharifu wengine wamesingiziwa)hivi wewe Ni ke au me?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga tuliwaaambia tangu mwanzo mkadhani tunampakazia mchezaji wenu, ona sasa kinachowapata!
 
Ndicho tunachokiweza wema tuwaache wenye roho zao, halafu sio unaandika tu unamjua Mafia wewe? Usifikiri ni jina tu kama mnavyoitana baharia, maana nimekimbilia kusoma kumbe mwizi wa gari

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu njoo utueleze uppya jamaa yako keshapiga pessa na mkataba kaukana huko Jangwani....
Mchezaji kapigwa Ban baadhi ya Nchi sie tunaona Proffeshenoooo
 
Daaah huyo jamaa naona kama sooon atatakiwa na Vigogo wa soka Afrika kwa kiwango chake sio siri.
Mkuu karibu tena,vipi Bado unayo haya mawazo kuwa Morison soon atachukuliwa na vigogo wa soka Africa?
 
Mkuu karibu tena,vipi Bado unayo haya mawazo kuwa Morison soon atachukuliwa na vigogo wa soka Africa?
Mkuuu jasiri haaachi asili, mafia wa ukweli yule siyo wa mchezo mchezo anaweza kutoa kichapo muda wowote.
 
Mkuuu njoo utueleze uppya jamaa yako keshapiga pessa na mkataba kaukana huko Jangwani....
Mchezaji kapigwa Ban baadhi ya Nchi sie tunaona Proffeshenoooo
Nieleze nini mkuu wakati nasherehekea ushindi wa Jana, nilipomtetea nilijua labda watani wamejiridhisha kuhusu afya yake kichwani kumbe walimpapatikia, Ila sio Mafia
 
Back
Top Bottom