Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

Usilinganishe ng'ombe na vitu vya kijinga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muwe na akiba ya maneno basi, mechi moja tu ndio mnajipa ujiko kiasi hiki?
MImi sijazungumzia mechi ya jana bali nimezungumzia mechi zote yanga alizocheza msimu huu kimataifa ameutawala mchezo. Je unakataa? Kisha nikasema kuna mambo kadhaa tu kwa Yanga kuyaweka sawa kiufundi. Nikiwa na maana ya baada kuutawala mchezo kinachofuata ni ku convert nafasi kuwa magoli. Hili jambo Yanga wangekuwa wapo vizuri basi Al Hilal alikuwa anakufa kote kote
 
Wakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Roho mbaya tu, hata kama! wewe inakuhusu nini
 
CAF CONFEDERATION CUP.png
 
Wakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Fresh ilimradi kwa sasa zile kelele zenu za waarabu zitaisha
 
Wakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Ila simba itafika mpaka fainali msimu huu bila shaka! Si unajua tuna fowadi kali kabisa inayoitwa Kibu Denis!! Achilia mbali Habib Kiyombo na Kepteni John Bocco! aka Boko Haram.
 
Back
Top Bottom