nyanthorogo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 220
- 402
Ooh! The lost!!! Kapotea! Hajielewi!Wakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Ulitaka mechi ngapi wewe?Muwe na akiba ya maneno basi, mechi moja tu ndio mnajipa ujiko kiasi hiki?
Usilinganishe ng'ombe na vitu vya kijingaHayana akili yanaishi kama mang'ombe tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usilinganishe ng'ombe na vitu vya kijinga
MImi sijazungumzia mechi ya jana bali nimezungumzia mechi zote yanga alizocheza msimu huu kimataifa ameutawala mchezo. Je unakataa? Kisha nikasema kuna mambo kadhaa tu kwa Yanga kuyaweka sawa kiufundi. Nikiwa na maana ya baada kuutawala mchezo kinachofuata ni ku convert nafasi kuwa magoli. Hili jambo Yanga wangekuwa wapo vizuri basi Al Hilal alikuwa anakufa kote koteMuwe na akiba ya maneno basi, mechi moja tu ndio mnajipa ujiko kiasi hiki?
Roho mbaya tu, hata kama! wewe inakuhusu niniWakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
umeshiba kande,kanywe maji sasaWakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Mkuu nimekusoma hawa jamaa watakubali tu.
Nawe roho mbaya yangu inakuhusu Nini Kama siyo roho mbayaRoho mbaya tu, hata kama wewe inakuhusu nini
Tuna bahasha za kutosha au huko hakuna bahasha? maana hii ndio kauli mbiu yenuWakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Fresh ilimradi kwa sasa zile kelele zenu za waarabu zitaishaWakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Nyie hio akiba hua mnayo?Muwe na akiba ya maneno basi, mechi moja tu ndio mnajipa ujiko kiasi hiki?
Yanga haiko hivyo wewe,Yanga ya Sasa ni next levelWakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Ila simba itafika mpaka fainali msimu huu bila shaka! Si unajua tuna fowadi kali kabisa inayoitwa Kibu Denis!! Achilia mbali Habib Kiyombo na Kepteni John Bocco! aka Boko Haram.Wakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Hao siyo wachezaji tena huyo msenge Kibu Denis namchukia sana.Ila simba itafika mpaka fainali msimu huu bila shaka! Si unajua tuna fowadi kali kabisa inayoitwa Kibu Denis!! Achilia mbali Habib Kiyombo na Kepteni John Bocco! aka Boko Haram.
Numecheka kwa sauti kubwa mno [emoji16]Muungwana akivukiwa nguo huchutama wewe taahira bado umesimama na kuendelea kubishana *****..