Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ifikie wakati nawalaumu nyie mods
Mtu kama huyu mlimruhusu vipi ajiunge jf?
Mtu kama huyu mlimruhusu vipi ajiunge jf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawaona mnaotumia mbinu za Championship mnavyo haha.Jana nilisikia kuwa Yanga baada ya mechi yao na Medeama, walizungumza na mshambuliaji wao hatari aliyewasumbua sana Jonathan Sowah kwa nia ya kumsajili.
Nakumbuka msimu uliopita katika mashindano ya shirikisho, karibia kila timu iliyokuwa inacheza na Yanga, baada ya mechi ya kwanza na timu hiyo, kabla hata ya kurudiana walikuwa wanaonyesha waziwazi interest na wachezaji walioonekana hatari wa timu pinzani na kuwaahidi kuwasajili. Nakumbuka walifanya hivyo kwa TP Mazembe, walifanya hivyo kwa AS Bamako. Walipokutana na Monastir, ghafla tawi lao Singida Big Stars wakaingia ushirikiano na Monastir. Tulio na jicho la tatu tulihoji haya mambo toka kipindi kile. Baada ya mission katika shirikisho kufanikiwa hakuna mchezaji wa TP Mazembe wala Bamako aliyesajiliwa Yanga msimu huu wala ule ushirikiano na SBS hatujausikia tena.
Kwa mtazamo wangu hizi ni mbinu chafu zisizo za kiungwana na kimichezo za kurubuni wachezaji ili kuwapunguza makali kabla ya mechi ya marudiano, ili mchezaji asicheze kwa kiwango chake akidhani atakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga baada ya muda mfupi. Mbinu hii pia siyo fair kwa timu yake ya sasa inayomlipa mshahara wake. Mara nyingine unakuta timu inaamua hata kutompanga huyo mchezaji katika mechi ya marudiano wakiwa na wasiwasi hatacheza kwa bidii.
Embu waza Yanga wangefanyiwa kitu kama hicho kwa timu pinzani kuonyesha interest waziwazi kwa kuongea direct na mchezaji wa Yanga katikati ya mashindano bila kwanza kwenda kwa uongozi wa timu. Naamini wote tunajua jinsi malalamiko yao yangekuwa maana tuliyaona wakati wa sakata la Feisal na Azam. Hizi ni janja janja za muda mfupi na mwisho wa siku zinagonga mwamba maana sitegemei kama wataweza kufanya hivyo kwa wachezaji wanaojitambua wa CRB au wa Al Ahly.
Nawasilisha.
Mbona nawewe unabwabwaja zaidi.Umebwabwaja bila kuleta ushahidi wowote, hao Yanga wanaela gani ya kuwarubuni wachezaji 11 wa Medeama, wachezaji 11 wa Belouizdad, wachezaji 11 wa Al Ahly. Hivi wewe ni mwehu kiasi hiki.
Mnajipa moyo sana na matokeo ya Yanga, wewe subiria warabu wakupelekee moto wa lava.
Timu yao hawaiongelei wanajua mwendo wame umalizaMnajipa moyo sana na matokeo ya Yanga, wewe subiria warabu wakupelekee moto wa lava.
😄😄Bila shaka mkuu ww ni shabiki wa simba... Vita mbinuJana nilisikia kuwa Yanga baada ya mechi yao na Medeama, walizungumza na mshambuliaji wao hatari aliyewasumbua sana Jonathan Sowah kwa nia ya kumsajili.
Nakumbuka msimu uliopita katika mashindano ya shirikisho, karibia kila timu iliyokuwa inacheza na Yanga, baada ya mechi ya kwanza na timu hiyo, kabla hata ya kurudiana walikuwa wanaonyesha waziwazi interest na wachezaji walioonekana hatari wa timu pinzani na kuwaahidi kuwasajili. Nakumbuka walifanya hivyo kwa TP Mazembe, walifanya hivyo kwa AS Bamako. Walipokutana na Monastir, ghafla tawi lao Singida Big Stars wakaingia ushirikiano na Monastir. Tulio na jicho la tatu tulihoji haya mambo toka kipindi kile. Baada ya mission katika shirikisho kufanikiwa hakuna mchezaji wa TP Mazembe wala Bamako aliyesajiliwa Yanga msimu huu wala ule ushirikiano na SBS hatujausikia tena.
Kwa mtazamo wangu hizi ni mbinu chafu zisizo za kiungwana na kimichezo za kurubuni wachezaji ili kuwapunguza makali kabla ya mechi ya marudiano, ili mchezaji asicheze kwa kiwango chake akidhani atakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga baada ya muda mfupi. Mbinu hii pia siyo fair kwa timu yake ya sasa inayomlipa mshahara wake. Mara nyingine unakuta timu inaamua hata kutompanga huyo mchezaji katika mechi ya marudiano wakiwa na wasiwasi hatacheza kwa bidii.
Embu waza Yanga wangefanyiwa kitu kama hicho kwa timu pinzani kuonyesha interest waziwazi kwa kuongea direct na mchezaji wa Yanga katikati ya mashindano bila kwanza kwenda kwa uongozi wa timu. Naamini wote tunajua jinsi malalamiko yao yangekuwa maana tuliyaona wakati wa sakata la Feisal na Azam. Hizi ni janja janja za muda mfupi na mwisho wa siku zinagonga mwamba maana sitegemei kama wataweza kufanya hivyo kwa wachezaji wanaojitambua wa CRB au wa Al Ahly.
Nawasilisha.
Hao waarabu ambao mechi yao ya kufa na kupona wamepelekewa moto hadi wakaja kupata bao la ngekewa dakika ya 95. Njooni J4 mjifunze jinsi ya kucheza mechi za kimataifa ili muachane ni michezo hii mnayofanya ya kitotoMnajipa moyo sana na matokeo ya Yanga, wewe subiria warabu wakupelekee moto wa lava.
Ila ukapigwa kidude....... huko mbali jumamosi tutakuona na Kagera.......Hao waarabu ambao mechi yao ya kufa na kupona wamepelekewa moto hadi wakaja kupata bao la ngekewa dakika ya 95. Njooni J4 mjifunze jinsi ya kucheza mechi za kimataifa ili muachane ni michezo hii mnayofanya ya kitoto
Kama uliangalia pira la Morocco utagundua injini sasa hivi inalia kama mpya vileee. Siku mbili tatu hizi tunabadili tairi ili pale mbele kuwe sawa, baaassii, zile dozi za goli tatu, nne, tano za msimu uliopita zinarudi.Ila ukapigwa kidude....... huko mbali jumamosi tutakuona na Kagera.......
Na mlivyokuwa hamna timu,fungukeni mtengeneze magap mpigwe.
Funguka hovyo hovyo uone msidanganywe kabisa na ile mechi ya Morroco,hiyo kesho yenyewe mnaweza mkapoteana kwa Kagera.Kama uliangalia pira la Morocco utagundua injini sasa hivi inalia kama mpya vileee. Siku mbili tatu hizi tunabadili tairi ili pale mbele kuwe sawa, baaassii, zile dozi za goli tatu, nne, tano za msimu uliopita zinarudi.
Mara ya mwisho Benchikha kuongoza timu kwa Mkapa kuna watu walikuwa bado wanashangilia goli lao wakajikuta wanaanza kushangilia goli la timu pinzani. Hivi unakumbuka lakini au nisikukumbushe machungu?
Mwarabu katumia dakika 90+ kumuandaa mnyama baadae kamuweka kimoja cha motoHao waarabu ambao mechi yao ya kufa na kupona wamepelekewa moto hadi wakaja kupata bao la ngekewa dakika ya 95. Njooni J4 mjifunze jinsi ya kucheza mechi za kimataifa ili muachane ni michezo hii mnayofanya ya kitoto
Tunaelekea kileleni, hayo makoti yatatufaa sana na baridi la pale juuFunguka hovyo hovyo uone msidanganywe kabisa na ile mechi ya Morroco,hiyo kesho yenyewe mnaweza mkapoteana kwa Kagera.
Haya hiyo siku ya Wydad tafuta koti lako oversize naona mmeamua kuwatumia Miso Misondo au bado mmekomaa namsimamo wenu wa kutokwenda uwanjani.
View attachment 2842643
Ila ukapigwa kidude....... huko mbali jumamosi tutakuona na Kagera.......
Na mlivyokuwa hamna timu,fungukeni mtengeneze magap mpigwe.
Nakukumbusha tu si kwa ubaya, ile dozi niliyokwambia jana imeanza rasmi. Na isingekuwa uwanja mbovu, zingekuwa hata 8.Kama uliangalia pira la Morocco utagundua injini sasa hivi inalia kama mpya vileee. Siku mbili tatu hizi tunabadili tairi ili pale mbele kuwe sawa, baaassii, zile dozi za goli tatu, nne, tano za msimu uliopita zinarudi.
Mara ya mwisho Benchikha kuongoza timu kwa Mkapa kuna watu walikuwa bado wanashangilia goli lao wakajikuta wanaanza kushangilia goli la timu pinzani. Hivi unakumbuka lakini au nisikukumbushe machungu?
Refa kawafunikia mara mbili penati moja,mnaoa hata aibu kushangilia. Timu hata kutengeneza nafasi inapata tabu.Sijui mwenzangu mpira unaangaliaje.Nakukumbusha tu si kwa ubaya, ile dozi niliyokwambia jana imeanza rasmi. Na isingekuwa uwanja mbovu, zingekuwa hata 8.
Unataka kusema haikuwa penati ile? Na kipindi cha pili nafasi ngapi za wazi Simba imekosa?Refa kawafunikia mara mbili penati moja,mnaoa hata aibu kushangilia. Timu hata kutengeneza nafasi inapata tabu.Sijui mwenzangu mpira unaangaliaje.
Ndio maana ikafunikwa mara mbili.Huna timu ww........Unataka kusema haikuwa penati ile? Na kipindi cha pili nafasi ngapi za wazi Simba imekosa?