Yanga wanaendelea kutumia mbinu za Shirikisho kwenye Klabu Bingwa

Twende taratibu, faulo ya kwanza haikuwa penati?
Ule mpira mchezaji wa Kagera alikuwa anataka kuucheza kwa kichwa ila Kanoute akamchezea faulo mchezaji wa Kagera na kudondoka pasipo kuucheza ule mpira.
 
Shida hamjui hata mlikosoe goli kwa angle ipi? Saido hakuchezewa faulo? Wachezaji hawakuingia kwenye box kabla penati haijapigwa?
 
Kati ya mchezaji wa Simba na Kagera ni mchezaji yupi ndiye aliyetanguliwa kuchezewa faulo? Na ikapelekea hadi kushindwa kuwin mpira?
 
Hiyo ni tafsiri yako ila hata hiyo faulo unayosema refa angeweza kutafsiri kuwa ni Kanoute ndiyo alichezewa faulo maana yeye ndiye aliruka kuucheza mpira na mchezaji wa Kagera akampa mgongo, kwa hiyo tunarudi pale pale.

Screen Shot 2023-12-15 at 11.05.36 PM.png

Halafu kuna faulo nyingine aliyochezewa Kanoute na golikipa ambayo nayo ingeweza kuwa penati pia.
 
Hiyo ni tafsiri yako ila hata hiyo faulo unayosema refa angeweza kutafsiri kuwa ni Kanoute ndiyo alichezewa faulo maana yeye ndiye aliruka kuucheza mpira na mchezaji wa Kagera akampa mgongo, kwa hiyo tunarudi pale pale.

View attachment 2843629
Halafu kuna faulo nyingine aliyochezewa Kanoute na golikipa ambayo nayo ingeweza kuwa penati pia.
Yaani Kanoute anajiandaa kumpa mtu mgongo hapo na refa hakua mbali hajaona hawa marefa hii mipira hawajacheza kabisa kujua mbinu za faulo ? maana kutafsiri sheria hawajui..
 
Nadhani kile nilichokisema wote mmekiona leo. Hongereni kwa kujua kucheza mpira nje ya uwanja
 
Tunatafuta striker....ajili msimu ujao wa klabu bingwa......
 
Back
Top Bottom