Yanga wanaendelea kutumia mbinu za Shirikisho kwenye Klabu Bingwa

Ifikie wakati nawalaumu nyie mods
Mtu kama huyu mlimruhusu vipi ajiunge jf?
 
Tunawaona mnaotumia mbinu za Championship mnavyo haha.
 
Umebwabwaja bila kuleta ushahidi wowote, hao Yanga wanaela gani ya kuwarubuni wachezaji 11 wa Medeama, wachezaji 11 wa Belouizdad, wachezaji 11 wa Al Ahly. Hivi wewe ni mwehu kiasi hiki.
Mbona nawewe unabwabwaja zaidi.
 
Kama ni sahihi huenda anafanya mind games ili awakande.
 
😄😄Bila shaka mkuu ww ni shabiki wa simba... Vita mbinu
 
Mnajipa moyo sana na matokeo ya Yanga, wewe subiria warabu wakupelekee moto wa lava.
Hao waarabu ambao mechi yao ya kufa na kupona wamepelekewa moto hadi wakaja kupata bao la ngekewa dakika ya 95. Njooni J4 mjifunze jinsi ya kucheza mechi za kimataifa ili muachane ni michezo hii mnayofanya ya kitoto
 
Ila ukapigwa kidude....... huko mbali jumamosi tutakuona na Kagera.......

Na mlivyokuwa hamna timu,fungukeni mtengeneze magap mpigwe.
 
Ila ukapigwa kidude....... huko mbali jumamosi tutakuona na Kagera.......

Na mlivyokuwa hamna timu,fungukeni mtengeneze magap mpigwe.
Kama uliangalia pira la Morocco utagundua injini sasa hivi inalia kama mpya vileee. Siku mbili tatu hizi tunabadili tairi ili pale mbele kuwe sawa, baaassii, zile dozi za goli tatu, nne, tano za msimu uliopita zinarudi.

Mara ya mwisho Benchikha kuongoza timu kwa Mkapa kuna watu walikuwa bado wanashangilia goli lao wakajikuta wanaanza kushangilia goli la timu pinzani. Hivi unakumbuka lakini au nisikukumbushe machungu?
 
Funguka hovyo hovyo uone msidanganywe kabisa na ile mechi ya Morroco,hiyo kesho yenyewe mnaweza mkapoteana kwa Kagera.

Haya hiyo siku ya Wydad tafuta koti lako oversize naona mmeamua kuwatumia Miso Misondo au bado mmekomaa namsimamo wenu wa kutokwenda uwanjani.
 
Hao waarabu ambao mechi yao ya kufa na kupona wamepelekewa moto hadi wakaja kupata bao la ngekewa dakika ya 95. Njooni J4 mjifunze jinsi ya kucheza mechi za kimataifa ili muachane ni michezo hii mnayofanya ya kitoto
Mwarabu katumia dakika 90+ kumuandaa mnyama baadae kamuweka kimoja cha moto
 
Tunaelekea kileleni, hayo makoti yatatufaa sana na baridi la pale juu
 
Ila ukapigwa kidude....... huko mbali jumamosi tutakuona na Kagera.......

Na mlivyokuwa hamna timu,fungukeni mtengeneze magap mpigwe.
Nakukumbusha tu si kwa ubaya, ile dozi niliyokwambia jana imeanza rasmi. Na isingekuwa uwanja mbovu, zingekuwa hata 8.
 
Nakukumbusha tu si kwa ubaya, ile dozi niliyokwambia jana imeanza rasmi. Na isingekuwa uwanja mbovu, zingekuwa hata 8.
Refa kawafunikia mara mbili penati moja,mnaoa hata aibu kushangilia. Timu hata kutengeneza nafasi inapata tabu.Sijui mwenzangu mpira unaangaliaje.
 
Refa kawafunikia mara mbili penati moja,mnaoa hata aibu kushangilia. Timu hata kutengeneza nafasi inapata tabu.Sijui mwenzangu mpira unaangaliaje.
Unataka kusema haikuwa penati ile? Na kipindi cha pili nafasi ngapi za wazi Simba imekosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…