Yanga wanajua hizi Sh bilioni 5+ wanazokusanya GSM? Propaganda za Haji Manara zinaamsha wengi

Yanga wanajua hizi Sh bilioni 5+ wanazokusanya GSM? Propaganda za Haji Manara zinaamsha wengi

🀣🀣🀣🀣

Hata yeye mwenyewe Manara hayumo kwenye orodha ya wale wawili wenye akili.
πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ€£πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜πŸ˜‰
 
Eti hapa sasa ndiyo upeo wa kufikiri wa utopolo unapofikia katika kudadavua mambo.Nchi hii bado tuna safari ndefu Sana.
Huo muda wa kuchangunua vitu mpaka mpiga vichwa aelewe haupo. Hapa yanazungumzwa kwa kifupi tu.
 
Back
Top Bottom