Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

Yanga iliyofungwa na Azam,Tabora,Al hilal na Mc alger na kudraw na Mazembe na Yanga hii ya mechi 4 nyuma ni Yanga mbili tofauti.

Ukiziangalia kwa jicho la mpira utaona utofuti huo.

Ila ukiziangalia kwa jicho la Rage hautoona huo utofauti.
Bila sindano mwiko nyuma weupe kama toilet paper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…