Baba mtumishi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 550
- 476
Thubutu kwani hawaogopi?Sasa tumskilizie yule wa upande wa pili aliyesema ikihairishwa tarehe 15 hawechezi 😁😁
Thubutu kwani hawaogopi?Sasa tumskilizie yule wa upande wa pili aliyesema ikihairishwa tarehe 15 hawechezi 😁😁
Wana Nchi Yao?Licha ya Serikali kupitia Rais Samia kuingilia masuala ya michezo (kinyume na taratibu za FIFA), club ya Yanga imepanga kugomea mchezo huo ikiwa madai yao matatu kati ya manne hayatafanyiwa kazi.
Unamaanisha nini? Au mtawateka wakigoma?Wana Nchi Yao?
Tunawataka si mlisema tunamuogopa mpanzu sasa kamuandaeni uyo mpanzu wenu mje nae hii barua yenu ishageuka kifungashio cha mandazi👇Watachezaje wakati bodi haijavunjwa?, aliyepiga simu hajulikani?, mafao hawajalipwa, wasicheze😀. Mpaka mwanamke awaambie wacheze ndio wanacheza yaani Hawa wepesi sana yaani🤣
Wanakuja wenyewe, muonyeshane uwanjaniTunawataka si mlisema tunamuogopa mpanzu sasa kamuandaeni uyo mpanzu wenu mje nae hii barua yenu ishageuka kifungashio cha mandazi👇
Mimi hili nilishaliona kitambo sana, kua shabiki kwa asilimia 30 tu zinatoshaSema tu nilichogundua, hizi timu mbili kongwe nchini tunatakiwa kuzishabikia kwa tahadhari kubwa sana.
Maana viongozi wake wengi wamekuwa wakizitumia kama madaraja ya kufikia malengo yao binafsi ya kisiasa na kiuchumi, kwa kishirikiana na chama cha majambazi.
Na ndiyo maana miaka zaidi ya 80 hazina hata viwanja vyao binafsi! Halafu za kawaida tu kama Azam Fc na KMC zimeanzishwa miaka ya 2000! Zina viwanja vyao binafsi!
Point za mezani zimeyeyukaMakolo wakijadili kilichotokea
View attachment 3367157
Si mlisema hamchezi mmpaka mkaandamana, mkachapisha na jezi kabisa. Sasa kimebadilika nini mnapelekwa tu kama nyumbuTunawataka si mlisema tunamuogopa mpanzu sasa kamuandaeni uyo mpanzu wenu mje nae hii barua yenu ishageuka kifungashio cha mandazi👇
Unaanza kupata akili naonaSema tu nilichogundua, hizi timu mbili kongwe nchini tunatakiwa kuzishabikia kwa tahadhari kubwa sana.
Maana viongozi wake wengi wamekuwa wakizitumia kama madaraja ya kufikia malengo yao binafsi ya kisiasa na kiuchumi, kwa kishirikiana na chama cha majambazi.
Na ndiyo maana miaka zaidi ya 80 hazina hata viwanja vyao binafsi! Halafu za kawaida tu kama Azam Fc na KMC zimeanzishwa miaka ya 2000! Zina viwanja vyao binafsi!
Hapana acheni ujinga.Hii sasa Yanga tumeipokea
Mimi nina akili hata kabla ya kuzaliwa miaka mingi iliyopita. Pale simba labda Mzee Kilomoni tu ndiyo anakaribia kufanana akili na mimi. Wengine wote hamna kitu.Unaanza kupata akili naona
Sema ukiwa bado hujachanganywa na ile supu yenu ya vibudu unakuwaga na akili.Sema tu nilichogundua, hizi timu mbili kongwe nchini tunatakiwa kuzishabikia kwa tahadhari kubwa sana.
Maana viongozi wake wengi wamekuwa wakizitumia kama madaraja ya kufikia malengo yao binafsi ya kisiasa na kiuchumi, kwa kishirikiana na chama cha majambazi.
Na ndiyo maana miaka zaidi ya 80 hazina hata viwanja vyao binafsi! Halafu za kawaida tu kama Azam Fc na KMC zimeanzishwa miaka ya 2000! Zina viwanja vyao binafsi!
Halafu wanaanzisha Thread fasta fasta kula matapishi yaoWatachezaje wakati bodi haijavunjwa?, aliyepiga simu hajulikani?, mafao hawajalipwa, wasicheze😀. Mpaka mwanamke awaambie wacheze ndio wanacheza yaani Hawa wepesi sana yaani🤣
Utopolo wanasikitisha aiseeeKusema ukweli hii nchi ujinga mwingi yani kimebadilika nini? Kwamba yanga wamekutana na mungu kasema board ni nzuri chezeni? Si walisema matakwa ya wanachama au?
Jibu swali Bodi imevunjwa?? Million 200 mmelipwa??Mleteni huyo Mpanzu wenu, mlisema tunamuogopa Sasa mlete tuwafunge vizuri
Tunataka kumkaba MpanzuJibu swali Bodi imevunjwa?? Million 200 mmelipwa??