Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Huyo anasubiriwa ktk uchaguzi wake atapigwa presha moja hatoaminiHuyo aliyemsimamisha mwenzake kazi ndio target lakini ndio hivyo tena
Huyo anasubiriwa ktk uchaguzi wake atapigwa presha moja hatoaminiHuyo aliyemsimamisha mwenzake kazi ndio target lakini ndio hivyo tena
Au niseme mama aseme, itakuwa sio tusi mkuuAcha matusi
Watashirikiana na masalia ya Bodi, wapewe mapema majina na waamuzi, waanze kuwafuatilia. Wakati wanaenda Kwamkapa wanawateka. Mechi inakosa waamuzi, inashindwa kuchezeka.Unamuona mwenyekiti wako alivyonuna baada ya kuona anatoa statement kuwa mechi ikiahirishwa amchezi sasa anaumiza kichwa anakuja na swaga Gani nyingine ya kuwaambia,,kukurupuka sio jambo zuri👇
Bodi inayosapoti timu yenu ndio ilikua itoe hiyo adhabu kwa waliosababisha kutokuchezwa kwa derby 8/3/2025.Mimi SIMBA ila wenzetu Yanga wana nguvu sana na Simba wakicheza hii mechi mm sitashabikia bongo hadi nione mabadiliko ya kweli yaan siasa na mpira vijitenge maana pshychological hii mechi ishakuwa ngumu kwetu kwakuwa Yanga mambo yao wamesikilizwa yote body imejiuzulu wakati sisi dai letu bado kuhusu waliofanya mechi isichezwe tarhe hawajaadhibiwa
Hongera kwa kujitambuaSema tu nilichogundua, hizi timu mbili kongwe nchini tunatakiwa kuzishabikia kwa tahadhari kubwa sana.
Maana viongozi wake wengi wamekuwa wakizitumia kama madaraja ya kufikia malengo yao binafsi ya kisiasa na kiuchumi, kwa kishirikiana na chama cha majambazi.
Na ndiyo maana miaka zaidi ya 80 hazina hata viwanja vyao binafsi! Halafu za kawaida tu kama Azam Fc na KMC zimeanzishwa miaka ya 2000! Zina viwanja vyao binafsi!
Utopolo wanasikitisha aiseee