Yanga wasema hii ya tarehe 25 tunacheza, haina kipengele kipengele uje nacho wewe!

Yanga wasema hii ya tarehe 25 tunacheza, haina kipengele kipengele uje nacho wewe!

Tunawataka si mlisema tunamuogopa mpanzu sasa kamuandaeni uyo mpanzu wenu mje nae hii barua yenu ishageuka kifungashio cha mandazi[emoji116]
Bodi ya ligi imejiuzulu?
Mmelipwa pesa zenu?
Kidao amejiuzulu?
Bodi ya ligi imekuwa huru?

Au ndiyo ile aliyoisema Manara kwamba wenye akili ni wawili tu?
 
Tunaomba wale ndugu zetu wa Simba waendelee kutumia nguvu Ile Ile waliyokuwa wanatumia kuitangaza mechi ya trh 15 wakati wao sio wenyeji wa mchezo waendelee nayo ivyo ivyo kwenye mechi ijayo ya Tarehe 25!
Kwasasa zile point za mezani zilizokuwa zinapigiwa hesabu bila kutoa jasho uwanjani zimeshindikana Rasmi,
Na mpango wa kubeba ata kikombe cha kahawa msimu huu umekufa kifo cha kawaida!

Soma Pia: Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025

HII YA TRH 25 TUNACHEZA HAINA KIPENGELE

Wanna mpaka wameenda kushitaki, walitaka wapewe point 3, walipwe gharama za hasara, na wakasema hatuchezi tena. Sasa je hiyo tarehe 25 vitu hivyo vimelipwa kwa Yanga?
 
Mimi nina akili hata kabla ya kuzaliwa miaka mingi iliyopita. Pale simba labda Mzee Kilomoni tu ndiyo anakaribia kufanana akili na mimi. Wengine wote hamna kitu.
Sawa. Sasa ninyi wazee mlikuwa mnaitisha press za kusema hatuchezi hadi mkachapisha na jezi kwa sababu gani? Kubali tu hizi timu zinawatumia vibaya watz.
 
Bodi ya ligi imejiuzulu?
Mmelipwa pesa zenu?
Kidao amejiuzulu?
Bodi ya ligi imekuwa huru?

Au ndiyo ile aliyoisema Manara kwamba wenye akili ni wawili tu?
Kwani trh 25 imeshafika? Unajua kinachofata hapa kati kati? Kaa kwa kutulia ayo maswali yako urudi nayo hapa trh 21 utakuwa umeyapata majibu yako
 
Wanna mpaka wameenda kushitaki, walitaka wapewe point 3, walipwe gharama za hasara, na wakasema hatuchezi tena. Sasa je hiyo tarehe 25 vitu hivyo vimelipwa kwa Yanga?
Wanatumiwa vibaya sana hawa wajinga.
 
Mkuu japo ww ni Yanga mi ni Simba ila ukweli ni kwamba mashabiki ndo tunaonekana matahira... Mkuu kweli tushabikie kwa tahadhali, ona sasa viongozi wa simba na yanga wameenda kuelewana na rais bila hata kuwashirikisha mashabiki.. Mashabiki ni kimdomo tu hawana influence yoyote kwenye hizi timu.
Na ndiyo maana hata hiyo siku ya mechi, hakuna umuhimu wa kwenda kama ile hela yako ya tatehe 8 hukurejeshewa. Huo utakuwa ni utapeli.

Watu wote waliosababisha ile mechi kuahitishwa, walitakiwa kuchukuliwa hatua kali kwa mujibu wa kanuni. Na siyo huu upuuzi walio ufanya hawa viongozi wa timu zote mbili.
 
Si mlisema hamchezi mmpaka mkaandamana, mkachapisha na jezi kabisa. Sasa kimebadilika nini mnapelekwa tu kama nyumbu
Na uyu kasemaje jana? Uyu ndio nyumbu pro max 👇
 

Attachments

  • 20250613_190325.jpg
    20250613_190325.jpg
    541 KB · Views: 26
Wanna mpaka wameenda kushitaki, walitaka wapewe point 3, walipwe gharama za hasara, na wakasema hatuchezi tena. Sasa je hiyo tarehe 25 vitu hivyo vimelipwa kwa Yanga?
Kila jambo na hatua zake,,imeanza hatua ya kwanza kinachofata ni wale mlioshirikiana nao kuachia ngazi kabla ya derby kuchezwa trh 25
 
Na uyu kasemaje jana? Uyu ndio nyumbu pro max 👇
Huyo achana nae. Kwanza tumjadili huyu aliye akisimamia kanuni, hataki kusikia busara wala nini, ametimiziwa haja zake au wa kupelekwapelekwa tu kama wale wanyama.
 
Huyo achana nae. Kwanza tumjadili huyu aliye akisimamia kanuni, hataki kusikia busara wala nini, ametimiziwa haja zake au wa kupelekwapelekwa tu kama wale wanyama.
Unamuona mwenyekiti wako alivyonuna baada ya kuona anatoa statement kuwa mechi ikiahirishwa amchezi sasa anaumiza kichwa anakuja na swaga Gani nyingine ya kuwaambia,,kukurupuka sio jambo zuri👇
 

Attachments

  • FB_IMG_1749838284737.jpg
    FB_IMG_1749838284737.jpg
    234.5 KB · Views: 26
Unamuona mwenyekiti wako alivyonuna baada ya kuona anatoa statement kuwa mechi ikiahirishwa amchezi sasa anaumiza kichwa anakuja na swaga Gani nyingine ya kuwaambia,,kukurupuka sio jambo zuri👇
Na mabosi zako wakisema tarehe 25 hatuchezi utakuja na uzi mwingine wa kuwasapoti? Sasa utapelekwa mpaka lini kwa sababu hizi timu.
 
Back
Top Bottom