Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Simba itakayocheza tarehe 25 sio Simba tunayoijua wana Simba!Mleteni huyo Mpanzu wenu, mlisema tunamuogopa Sasa mlete tuwafunge vizuri
Simba itakayocheza tarehe 25 sio Simba tunayoijua wana Simba!Mleteni huyo Mpanzu wenu, mlisema tunamuogopa Sasa mlete tuwafunge vizuri
Mnaanza kujibiwa madai ya yanga Moja baada ya jingine make kwa kutulia👇Wacha kujifariji...Kwa hili mmepigwa Ngumu Jiwe ..
je! Yale matakwa Yenu yametimizwa??? Au mkishacheza Derby ndio mtalianzisha tena??
Je Fainali ya CRDB mtacheza???
Majibu mnaanza kuyapata muone nguvu ya wananchi👇Wanna mpaka wameenda kushitaki, walitaka wapewe point 3, walipwe gharama za hasara, na wakasema hatuchezi tena. Sasa je hiyo tarehe 25 vitu hivyo vimelipwa kwa Yanga?
Kasongo katolewa Tu kama kafara hakuna kilichofanyikaWatachezaje wakati bodi haijavunjwa?, aliyepiga simu hajulikani?, mafao hawajalipwa, wasicheze😀. Mpaka mwanamke awaambie wacheze ndio wanacheza yaani Hawa wepesi sana yaani🤣
Nguvu ya wananchi mlikuwa mnaiulizia sasa mnajibiwa kabla kuku ajameza punje ya mchele👇Bodi ya ligi imejiuzulu?
Mmelipwa pesa zenu?
Kidao amejiuzulu?
Bodi ya ligi imekuwa huru?
Au ndiyo ile aliyoisema Manara kwamba wenye akili ni wawili tu?
Yameanza kufanyiwa kazi sasa labda kama unalo jingine👇Licha ya Serikali kupitia Rais Samia kuingilia masuala ya michezo (kinyume na taratibu za FIFA), club ya Yanga imepanga kugomea mchezo huo ikiwa madai yao matatu kati ya manne hayatafanyiwa kazi.
👇Si mlisema hamchezi mmpaka mkaandamana, mkachapisha na jezi kabisa. Sasa kimebadilika nini mnapelekwa tu kama nyumbu
Apa mkuu umeongea kiuzalendo kabisa na hapa ndio siri kali inapopitiaSema tu nilichogundua, hizi timu mbili kongwe nchini tunatakiwa kuzishabikia kwa tahadhari kubwa sana.
Maana viongozi wake wengi wamekuwa wakizitumia kama madaraja ya kufikia malengo yao binafsi ya kisiasa na kiuchumi, kwa kishirikiana na chama cha majambazi.
Na ndiyo maana miaka zaidi ya 80 hazina hata viwanja vyao binafsi! Halafu za kawaida tu kama Azam Fc na KMC zimeanzishwa miaka ya 2000! Zina viwanja vyao binafsi!
Wacha kujifariji...Kwa hili mmepigwa Ngumu Jiwe ..
je! Yale matakwa Yenu yametimizwa??? Au mkishacheza Derby ndio mtalianzisha tena??
Je Fainali ya CRDB mtacheza???
Tarehe 15 ndio ingekuwa tamu zaidi.Supu ya moto Moto ndio tamu sio kusubilia ipoe
Unaishi sayari gani!Bodi imevunjwa? Ujinga full
Kwa bahati mbaya sitaweza kurudi tena Dar kuwapasha ndugu zangu Makolo. Huwa ninapanga safari ya derby kama miezi mitatu kabla kusudi nikapambane na ndugu zangu; unajua ndugu zangu wote walioko Dar ni makolo tupu. Kwa hiyo derby huwa inatukutanisha katika mazingira mazuri sana.Kikombe hiki hakiepukiki, makolo kwa sasa matumbo joto
Huyo aliyemsimamisha mwenzake kazi ndio target lakini ndio hivyo tenaView attachment 3367369
Endelea kulilia chooni huko
Huyo kiongozi aliye jiuzuru na huyo kusimamishwa, ni wametolewa kafara, wala hakuna jipyaa.
Hili limefanyika, ili kufanya jambo fulani likubalike kwa wepesii.
Akili kumkichwaaa, 😂😂😂😂
Hata sio uto ndo mlofanya atoke, Rais ndo kashinikiza.Kujiuzulu maana yake umepoteza ajira yako. sio jambo dogo Mtu tena bosi anaesimamia timu zote kupoteza ajira yake kwa sababu ya timu moja tu imetaka aondoke
Hahahahaha,ila nyie Yanga mnasifa sana mjue,hampigani wenyewe mnapiganiwa na MamaDah, vibaya hivyo jamani 🤣
HahahahahaMakolo wakijadili kilichotokea
View attachment 3367157