Yanga wasema hii ya tarehe 25 tunacheza, haina kipengele kipengele uje nacho wewe!

Watachezaje wakati bodi haijavunjwa?, aliyepiga simu hajulikani?, mafao hawajalipwa, wasicheze😀. Mpaka mwanamke awaambie wacheze ndio wanacheza yaani Hawa wepesi sana yaani🤣
Tunawataka si mlisema tunamuogopa mpanzu sasa kamuandaeni uyo mpanzu wenu mje nae hii barua yenu ishageuka kifungashio cha mandazi👇
 

Attachments

  • 20250613_190325.jpg
    541 KB · Views: 20
Tunawataka si mlisema tunamuogopa mpanzu sasa kamuandaeni uyo mpanzu wenu mje nae hii barua yenu ishageuka kifungashio cha mandazi👇
Wanakuja wenyewe, muonyeshane uwanjani
 
Mimi hili nilishaliona kitambo sana, kua shabiki kwa asilimia 30 tu zinatosha
 
Tunawataka si mlisema tunamuogopa mpanzu sasa kamuandaeni uyo mpanzu wenu mje nae hii barua yenu ishageuka kifungashio cha mandazi👇
Si mlisema hamchezi mmpaka mkaandamana, mkachapisha na jezi kabisa. Sasa kimebadilika nini mnapelekwa tu kama nyumbu
 
Unaanza kupata akili naona
 
Sema ukiwa bado hujachanganywa na ile supu yenu ya vibudu unakuwaga na akili.
Umeongea jambo la msingi Sana.
 
Watachezaje wakati bodi haijavunjwa?, aliyepiga simu hajulikani?, mafao hawajalipwa, wasicheze😀. Mpaka mwanamke awaambie wacheze ndio wanacheza yaani Hawa wepesi sana yaani🤣
Halafu wanaanzisha Thread fasta fasta kula matapishi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…