Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Wacha kujifariji...Kwa hili mmepigwa Ngumu Jiwe ..makolo kimoyo moyo walikua wanaombea sana tiketi za bure
Bodi ya ligi imejiuzulu?Tunawataka si mlisema tunamuogopa mpanzu sasa kamuandaeni uyo mpanzu wenu mje nae hii barua yenu ishageuka kifungashio cha mandazi[emoji116]
Acha matusiMpaka mwanamke awaambie wacheze ndio wanacheza
Wanna mpaka wameenda kushitaki, walitaka wapewe point 3, walipwe gharama za hasara, na wakasema hatuchezi tena. Sasa je hiyo tarehe 25 vitu hivyo vimelipwa kwa Yanga?Tunaomba wale ndugu zetu wa Simba waendelee kutumia nguvu Ile Ile waliyokuwa wanatumia kuitangaza mechi ya trh 15 wakati wao sio wenyeji wa mchezo waendelee nayo ivyo ivyo kwenye mechi ijayo ya Tarehe 25!
Kwasasa zile point za mezani zilizokuwa zinapigiwa hesabu bila kutoa jasho uwanjani zimeshindikana Rasmi,
Na mpango wa kubeba ata kikombe cha kahawa msimu huu umekufa kifo cha kawaida!
Soma Pia: Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025
HII YA TRH 25 TUNACHEZA HAINA KIPENGELE
Hawawezi kukujibu mkuu, wasaniii waleBodi ya ligi imejiuzulu?
Mmelipwa pesa zenu?
Kidao amejiuzulu?
Bodi ya ligi imekuwa huru?
Au ndiyo ile aliyoisema Manara kwamba wenye akili ni wawili tu?
Sawa. Sasa ninyi wazee mlikuwa mnaitisha press za kusema hatuchezi hadi mkachapisha na jezi kwa sababu gani? Kubali tu hizi timu zinawatumia vibaya watz.Mimi nina akili hata kabla ya kuzaliwa miaka mingi iliyopita. Pale simba labda Mzee Kilomoni tu ndiyo anakaribia kufanana akili na mimi. Wengine wote hamna kitu.
Bodi Imejiuzulu??? Kiongozi wa Juu wa Serikali kajulikana??? Million 200 mmelipwa??? Kwanini mcheze Sasa..Makolo wakijadili kilichotokea
View attachment 3367157
Kwani trh 25 imeshafika? Unajua kinachofata hapa kati kati? Kaa kwa kutulia ayo maswali yako urudi nayo hapa trh 21 utakuwa umeyapata majibu yakoBodi ya ligi imejiuzulu?
Mmelipwa pesa zenu?
Kidao amejiuzulu?
Bodi ya ligi imekuwa huru?
Au ndiyo ile aliyoisema Manara kwamba wenye akili ni wawili tu?
Wanatumiwa vibaya sana hawa wajinga.Wanna mpaka wameenda kushitaki, walitaka wapewe point 3, walipwe gharama za hasara, na wakasema hatuchezi tena. Sasa je hiyo tarehe 25 vitu hivyo vimelipwa kwa Yanga?
Na ndiyo maana hata hiyo siku ya mechi, hakuna umuhimu wa kwenda kama ile hela yako ya tatehe 8 hukurejeshewa. Huo utakuwa ni utapeli.Mkuu japo ww ni Yanga mi ni Simba ila ukweli ni kwamba mashabiki ndo tunaonekana matahira... Mkuu kweli tushabikie kwa tahadhali, ona sasa viongozi wa simba na yanga wameenda kuelewana na rais bila hata kuwashirikisha mashabiki.. Mashabiki ni kimdomo tu hawana influence yoyote kwenye hizi timu.
Na uyu kasemaje jana? Uyu ndio nyumbu pro max 👇Si mlisema hamchezi mmpaka mkaandamana, mkachapisha na jezi kabisa. Sasa kimebadilika nini mnapelekwa tu kama nyumbu
Mmeanza Kula matapishi ..??Hii sasa Yanga tumeipokea
Kila jambo na hatua zake,,imeanza hatua ya kwanza kinachofata ni wale mlioshirikiana nao kuachia ngazi kabla ya derby kuchezwa trh 25Wanna mpaka wameenda kushitaki, walitaka wapewe point 3, walipwe gharama za hasara, na wakasema hatuchezi tena. Sasa je hiyo tarehe 25 vitu hivyo vimelipwa kwa Yanga?
Bodi Imejiuzulu??? Kiongozi wa Juu wa Serikali kajulikana??? Million 200 mmelipwa??? Kwanini mcheze Sasa..
Punguani wahed hapo ni Nani Sasa???
ninyi mtacheza tar 25?Bodi imevunjwa? Ujinga full
Huyo achana nae. Kwanza tumjadili huyu aliye akisimamia kanuni, hataki kusikia busara wala nini, ametimiziwa haja zake au wa kupelekwapelekwa tu kama wale wanyama.Na uyu kasemaje jana? Uyu ndio nyumbu pro max 👇
Unamuona mwenyekiti wako alivyonuna baada ya kuona anatoa statement kuwa mechi ikiahirishwa amchezi sasa anaumiza kichwa anakuja na swaga Gani nyingine ya kuwaambia,,kukurupuka sio jambo zuri👇Huyo achana nae. Kwanza tumjadili huyu aliye akisimamia kanuni, hataki kusikia busara wala nini, ametimiziwa haja zake au wa kupelekwapelekwa tu kama wale wanyama.
Mimi kwenye ukweli huwa sina upande.Sema ukiwa bado hujachanganywa na ile supu yenu ya vibudu unakuwaga na akili.
Umeongea jambo la msingi Sana.
Na mabosi zako wakisema tarehe 25 hatuchezi utakuja na uzi mwingine wa kuwasapoti? Sasa utapelekwa mpaka lini kwa sababu hizi timu.Unamuona mwenyekiti wako alivyonuna baada ya kuona anatoa statement kuwa mechi ikiahirishwa amchezi sasa anaumiza kichwa anakuja na swaga Gani nyingine ya kuwaambia,,kukurupuka sio jambo zuri👇