Yanga wasema hii ya tarehe 25 tunacheza, haina kipengele kipengele uje nacho wewe!

Wacha kujifariji...Kwa hili mmepigwa Ngumu Jiwe ..

je! Yale matakwa Yenu yametimizwa??? Au mkishacheza Derby ndio mtalianzisha tena??

Je Fainali ya CRDB mtacheza???
Mnaanza kujibiwa madai ya yanga Moja baada ya jingine make kwa kutuliaπŸ‘‡
 

Attachments

  • FB_IMG_1749840328260.jpg
    55.4 KB · Views: 17
Na huyo Kigogo wa Serikali aliyetoa amri ya geti kutofunguliwa naye ajiuzuru ama sivyo Rais atengue uteuzi wake
 
Wanna mpaka wameenda kushitaki, walitaka wapewe point 3, walipwe gharama za hasara, na wakasema hatuchezi tena. Sasa je hiyo tarehe 25 vitu hivyo vimelipwa kwa Yanga?
Majibu mnaanza kuyapata muone nguvu ya wananchiπŸ‘‡
 

Attachments

  • FB_IMG_1749840328260.jpg
    55.4 KB · Views: 18
Watachezaje wakati bodi haijavunjwa?, aliyepiga simu hajulikani?, mafao hawajalipwa, wasichezeπŸ˜€. Mpaka mwanamke awaambie wacheze ndio wanacheza yaani Hawa wepesi sana yaani🀣
Kasongo katolewa Tu kama kafara hakuna kilichofanyika
 
Bodi ya ligi imejiuzulu?
Mmelipwa pesa zenu?
Kidao amejiuzulu?
Bodi ya ligi imekuwa huru?

Au ndiyo ile aliyoisema Manara kwamba wenye akili ni wawili tu?
Nguvu ya wananchi mlikuwa mnaiulizia sasa mnajibiwa kabla kuku ajameza punje ya mcheleπŸ‘‡
 

Attachments

  • FB_IMG_1749840328260.jpg
    55.4 KB · Views: 14
Licha ya Serikali kupitia Rais Samia kuingilia masuala ya michezo (kinyume na taratibu za FIFA), club ya Yanga imepanga kugomea mchezo huo ikiwa madai yao matatu kati ya manne hayatafanyiwa kazi.
Yameanza kufanyiwa kazi sasa labda kama unalo jingineπŸ‘‡
 

Attachments

  • FB_IMG_1749840328260.jpg
    55.4 KB · Views: 21
Si mlisema hamchezi mmpaka mkaandamana, mkachapisha na jezi kabisa. Sasa kimebadilika nini mnapelekwa tu kama nyumbu
πŸ‘‡
 

Attachments

  • FB_IMG_1749840328260.jpg
    55.4 KB · Views: 14
Apa mkuu umeongea kiuzalendo kabisa na hapa ndio siri kali inapopitia
 
Huyo kiongozi aliye jiuzuru na huyo kusimamishwa, ni wametolewa kafara, wala hakuna jipyaa.

Hili limefanyika, ili kufanya jambo fulani likubalike kwa wepesii.
Akili kumkichwaaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kikombe hiki hakiepukiki, makolo kwa sasa matumbo joto
Kwa bahati mbaya sitaweza kurudi tena Dar kuwapasha ndugu zangu Makolo. Huwa ninapanga safari ya derby kama miezi mitatu kabla kusudi nikapambane na ndugu zangu; unajua ndugu zangu wote walioko Dar ni makolo tupu. Kwa hiyo derby huwa inatukutanisha katika mazingira mazuri sana.
 
Huyo kiongozi aliye jiuzuru na huyo kusimamishwa, ni wametolewa kafara, wala hakuna jipyaa.

Hili limefanyika, ili kufanya jambo fulani likubalike kwa wepesii.
Akili kumkichwaaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kujiuzulu maana yake umepoteza ajira yako. sio jambo dogo Mtu tena bosi anaesimamia timu zote kupoteza ajira yake kwa sababu ya timu moja tu imetaka aondoke
 
Kujiuzulu maana yake umepoteza ajira yako. sio jambo dogo Mtu tena bosi anaesimamia timu zote kupoteza ajira yake kwa sababu ya timu moja tu imetaka aondoke
Hata sio uto ndo mlofanya atoke, Rais ndo kashinikiza.
Ingekua hivyo si angejiuzuru toka mwanzo wa sakata hili. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…