Yanga wasema hii ya tarehe 25 tunacheza, haina kipengele kipengele uje nacho wewe!

Mimi SIMBA ila wenzetu Yanga wana nguvu sana na Simba wakicheza hii mechi mm sitashabikia bongo hadi nione mabadiliko ya kweli yaan siasa na mpira vijitenge maana pshychological hii mechi ishakuwa ngumu kwetu kwakuwa Yanga mambo yao wamesikilizwa yote body imejiuzulu wakati sisi dai letu bado kuhusu waliofanya mechi isichezwe tarhe hawajaadhibiwa
 
Unamuona mwenyekiti wako alivyonuna baada ya kuona anatoa statement kuwa mechi ikiahirishwa amchezi sasa anaumiza kichwa anakuja na swaga Gani nyingine ya kuwaambia,,kukurupuka sio jambo zuri👇
Watashirikiana na masalia ya Bodi, wapewe mapema majina na waamuzi, waanze kuwafuatilia. Wakati wanaenda Kwamkapa wanawateka. Mechi inakosa waamuzi, inashindwa kuchezeka.
 
Bodi inayosapoti timu yenu ndio ilikua itoe hiyo adhabu kwa waliosababisha kutokuchezwa kwa derby 8/3/2025.
Au ukitaka msikilizwe na nani? Kuwepo dhabu ilitakiwa h kwanza kuwepo na ripoti ya uchunguzi walioiahidi kuufanya. Lakini OLA dana dana tu.
Hata hivyo mbona mmeshasikilizwa?
Adhabu imetolewa kwa wahusika waliosababisha derby isichezwe.
Mmoja amelazimishwa ajiuzulu
Mwengine Amesimamishwa
Wengine, loading.......
 
Hongera kwa kujitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…