Hao mabaunsa wenu walisha mpiga shabiki wa simba mbele ya Ali kamwe.Acha kuwa mbumbumbu
Nimekwambia kwenye watendaji wa Yanga
Yanga haina kitengo cha mabaunsa
Yanga Huwa wanachukua ulinzi wa police
Yaani hao mabaunsa wazuie vip msafara wa Simba uliosindikizwa na police?
Ajiulize hili swali we mbumbumbu
Ya kwamba mechi inachezeshwa bila refa?Ukishafanya pre match meeting ni ishara tayari kuwa match umeanza
Hakuna kuhairishwa match baada ya pre match meeting
Vip goli la mamelody mlilo enda kudai CAF liliishia wapi?Watashinda hii ya kwanza
Hakuna mechi kuhairishwa baada ya pre match meetingYa kwamba mechi inachezeshwa bila refa?
Yaani nyinyi utopolo yule kocha wenu alikuwa sahihi kuwaita manyani.
Unataka hatua zaidi tukuchukulie wwHizi habari za Yanga ni vichekesho kweli et itachukua hatua zaidi hivi Yanga ni lini waliwahi kuchukua hizo hatua zaidi wakafanikiwa au ndio mnataka mpate time ya kuzuga kwa mashabiki wenu huku wakiamini mpo serious kumbe mnalia timing kucheza derby tena
Mnatapatapa tu mwisho wenu tunaujua hamtalamba hata point 1 ya mezani bila kuleta timu uwanjani pigeni sarakasi zenu za Caf,Fifa na Cas ila mkae mkijua hamna ubavu wa kushinda kesi dhidi ya chama cha soka cha nchi hii (TFF)Unataka hatua zaidi tukuchukulie ww
Mechi lazima itachezwa, sio itarudiwa, kwa sababu bado haijachezwa!Wamejuaje mechi lazima irudiwe??
Shame n them
Shame kassongo
Shame mgutti
Sheria ni ungese sana mamaeee! Yaani Sheria inavunjwa, halafu watu wanakuja na Sheria nyingine kutaka madai. Hizo pointi tatu wanazodai utopolo wakazichukue bodi ya ligi, Ila sisi tunataka mechi nao, wapige vimbola na sisi tupige then tuingie uwanjani.Hiki kinachofanywa na Yanga sasa kwa maoni ya mashabiki wa SImba wanaona ni ujinga. Ila ule uhuni waliofanyawao wanaona ni sahihi.
Hiki mnachotaka kuhalalisha wakifanya wengine mnaona ni uhuni.
Naamini kuwa shabiki wa SImba ni kipaji aisee.
Yaani bado hauoni unavyojichanganya. Sasa hiyo post ya Magori ndiyo barua officially?Kwani Magori humjui nani? Uzuri sipo humo kurizisha watu.Wewe ndio hujitambui na timu yako inayofanya kazi kupitia Instagram wote hamjitambui,inawezakana timu yako haina mifumo ya kupokea barua officially.
Nimejichanya wapi? Kwani Yanga si ameenda uwanjani? Nyie mmepost barua Instagram ,kiongozi wenu karopoka kwenye Instagram si anahakikisha kile mlicho kipost ni sahihi.Yaani bado hauoni unavyojichanganya. Sasa hiyo post ya Magori ndiyo barua officially?
Hiyo barua ya Simba inasema kuwa Simba haitashiriki tena katika ligi?Nimejichanya wapi? Kwani Yanga si ameenda uwanjani? Nyie mmepost barua Instagram ,kiongozi wenu karopoka kwenye Instagram si anahakikisha kile mlicho kipost ni sahihi.
Kwa hiyo Magoli MPAYUKAJI au ndio MBUMBUMBU?
Hiyo barua ya Simba inasema kuwa Simba haitashiriki tena katika ligi?
Kama unaitambua kauli ya mtu aliyoitoa mtandaoni, hata kama ni kiongozi, lakini amesema maneno ambayo hayapo katika barua rasmi unayoitambua ya klabu, inakuwaje unasema hautambui barua rasmi ya bodi ya ligi kisa umeisoma mtandaoni?View attachment 3267345
Barua haisemi anayesema ni huyo kiongozi wenu. Vip huyu Magoli kichaa au Mbumbumbu? Maana anashiriki kwenye vikao vya maamuzi ya club yenu.