Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Acha kuwa mbumbumbu
Nimekwambia kwenye watendaji wa Yanga
Yanga haina kitengo cha mabaunsa
Yanga Huwa wanachukua ulinzi wa police

Yaani hao mabaunsa wazuie vip msafara wa Simba uliosindikizwa na police?
Ajiulize hili swali we mbumbumbu
Hao mabaunsa wenu walisha mpiga shabiki wa simba mbele ya Ali kamwe.
 
Hizi habari za Yanga ni vichekesho kweli et itachukua hatua zaidi hivi Yanga ni lini waliwahi kuchukua hizo hatua zaidi wakafanikiwa au ndio mnataka mpate time ya kuzuga kwa mashabiki wenu huku wakiamini mpo serious kumbe mnalia timing kucheza derby tena
 
Ukishafanya pre match meeting ni ishara tayari kuwa match umeanza
Hakuna kuhairishwa match baada ya pre match meeting
Ya kwamba mechi inachezeshwa bila refa?
Yaani nyinyi utopolo yule kocha wenu alikuwa sahihi kuwaita manyani.
 
Ya kwamba mechi inachezeshwa bila refa?
Yaani nyinyi utopolo yule kocha wenu alikuwa sahihi kuwaita manyani.
Hakuna mechi kuhairishwa baada ya pre match meeting
Acha kuona mbumbumbu
Pre match meeting ni hatua ya kurasimisha mchezo
 
Hizi habari za Yanga ni vichekesho kweli et itachukua hatua zaidi hivi Yanga ni lini waliwahi kuchukua hizo hatua zaidi wakafanikiwa au ndio mnataka mpate time ya kuzuga kwa mashabiki wenu huku wakiamini mpo serious kumbe mnalia timing kucheza derby tena
Unataka hatua zaidi tukuchukulie ww
 
Unataka hatua zaidi tukuchukulie ww
Mnatapatapa tu mwisho wenu tunaujua hamtalamba hata point 1 ya mezani bila kuleta timu uwanjani pigeni sarakasi zenu za Caf,Fifa na Cas ila mkae mkijua hamna ubavu wa kushinda kesi dhidi ya chama cha soka cha nchi hii (TFF)
 
Hiki kinachofanywa na Yanga sasa kwa maoni ya mashabiki wa SImba wanaona ni ujinga. Ila ule uhuni waliofanyawao wanaona ni sahihi.
Hiki mnachotaka kuhalalisha wakifanya wengine mnaona ni uhuni.
Naamini kuwa shabiki wa SImba ni kipaji aisee.
Sheria ni ungese sana mamaeee! Yaani Sheria inavunjwa, halafu watu wanakuja na Sheria nyingine kutaka madai. Hizo pointi tatu wanazodai utopolo wakazichukue bodi ya ligi, Ila sisi tunataka mechi nao, wapige vimbola na sisi tupige then tuingie uwanjani.
 
Kwani Magori humjui nani? Uzuri sipo humo kurizisha watu.Wewe ndio hujitambui na timu yako inayofanya kazi kupitia Instagram wote hamjitambui,inawezakana timu yako haina mifumo ya kupokea barua officially.
Yaani bado hauoni unavyojichanganya. Sasa hiyo post ya Magori ndiyo barua officially?
 
Yaani bado hauoni unavyojichanganya. Sasa hiyo post ya Magori ndiyo barua officially?
Nimejichanya wapi? Kwani Yanga si ameenda uwanjani? Nyie mmepost barua Instagram ,kiongozi wenu karopoka kwenye Instagram si anahakikisha kile mlicho kipost ni sahihi.

Kwa hiyo Magoli MPAYUKAJI au ndio MBUMBUMBU?
 
Hiyo barua ya Simba inasema kuwa Simba haitashiriki tena katika ligi?
 
Hiyo barua ya Simba inasema kuwa Simba haitashiriki tena katika ligi?
Screenshot_20250311_111137_Instagram.jpg

Barua haisemi anayesema ni huyo kiongozi wenu. Vip huyu Magoli kichaa au Mbumbumbu? Maana anashiriki kwenye vikao vya maamuzi ya club yenu.
 
View attachment 3267345
Barua haisemi anayesema ni huyo kiongozi wenu. Vip huyu Magoli kichaa au Mbumbumbu? Maana anashiriki kwenye vikao vya maamuzi ya club yenu.
Kama unaitambua kauli ya mtu aliyoitoa mtandaoni, hata kama ni kiongozi, lakini amesema maneno ambayo hayapo katika barua rasmi unayoitambua ya klabu, inakuwaje unasema hautambui barua rasmi ya bodi ya ligi kisa umeisoma mtandaoni?

Inakuwaje unachagua kipi cha kutambua na kipi si cha kutambua?

Inakuwaje kauli ya mtu mmoja unaipa uzito kuliko barua rasmi ya taasisi?

Ukiweza kuyajibu hayo maswali naamini hoja zako zitayeyuka kama mvuke.
 
Back
Top Bottom