Yanga wazindua jezi yao nchini Malawi

Naunga Mkono kuwa Sheria Ngowi akamatwe mara moja. Hii tabia ya kufedhesha timu jirani vibonde wetu siyo nzuri
 
Yanga msiwatumie mabinti zetu wazuri vibaya kwa kutangaza jezi zenu huku pia mkiwatangaza kwa mbweha!
 
sasa ngoja walace karia aje azindue jezi za simba.usikie kelele zao.roho za kichawi ni mbaya sana.samia kazindua jez zao sisi tumekaa kimyaa.
 
sasa ngoja walace karia aje azindue jezi za simba.usikie kelele zao.roho za kichawi ni mbaya sana.samia kazindua jez zao sisi tumekaa kimyaa.

Akili zao huwa ziko kwenye mwiko ulio nyuma

Daima mbele nyuma uko kuna mwiko
 
Tusipokuwa makini mtasikia Young Africans Sports Club wameenda kumtambulisha mchezaji kwenye Mkutano Mkuu wa AU huko Ethiopia[emoji38][emoji1787] au pale mjini UN.

[emoji117]Mpaka Mama atoke madarakani mashabiki wa Yanga wote watakuwa mabonge kama Mwakalebela[emoji125][emoji125].

***​
Klabu ya Yanga imetambulisha kimya kimya jezi mpya za msimu wa 2023/2024 wakiwa nchini Malawi [emoji1156] ikulu .pamoja na Maraisi wawili wa Tanzania [emoji1241] na Malawi [emoji1156] leo July 5

Yanga wanasiri gani kupendwa na Marais, au ndo maana halisi ya timu ya Wananchi?

Your browser is not able to display this video.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
wivu unakusumbua sana
 
huu ni ushindi mkubwa kwa propaganda kwa yanga
 
hizi jezi ni mbaya sana, hizi ni taka taka compared to jezi za misimu mitatu nyumba, hizi jezi ni mbaya mbaya mbaya, quality mbovu mbovu sana. hapana kwa kweli.
 
Huo upindo wa chini ikiwapendeza, wautoe. Haukuwa na ulazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…