Yanga wazindua jezi yao nchini Malawi

Yanga wazindua jezi yao nchini Malawi

Naunga Mkono kuwa Sheria Ngowi akamatwe mara moja. Hii tabia ya kufedhesha timu jirani vibonde wetu siyo nzuri
 
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea uhuru wa Nchi hiyo.

Kwenye video fupi ya tukio hilo Rais wa Club ya Yanga Engineer Hersi Saidi ameonekana akiwapatia Marais hawa jezi zao
Yanga msiwatumie mabinti zetu wazuri vibaya kwa kutangaza jezi zenu huku pia mkiwatangaza kwa mbweha!
 
sasa ngoja walace karia aje azindue jezi za simba.usikie kelele zao.roho za kichawi ni mbaya sana.samia kazindua jez zao sisi tumekaa kimyaa.
 
sasa ngoja walace karia aje azindue jezi za simba.usikie kelele zao.roho za kichawi ni mbaya sana.samia kazindua jez zao sisi tumekaa kimyaa.

Akili zao huwa ziko kwenye mwiko ulio nyuma

Daima mbele nyuma uko kuna mwiko
 
Tusipokuwa makini mtasikia Young Africans Sports Club wameenda kumtambulisha mchezaji kwenye Mkutano Mkuu wa AU huko Ethiopia[emoji38][emoji1787] au pale mjini UN.

[emoji117]Mpaka Mama atoke madarakani mashabiki wa Yanga wote watakuwa mabonge kama Mwakalebela[emoji125][emoji125].

***​
Klabu ya Yanga imetambulisha kimya kimya jezi mpya za msimu wa 2023/2024 wakiwa nchini Malawi [emoji1156] ikulu .pamoja na Maraisi wawili wa Tanzania [emoji1241] na Malawi [emoji1156] leo July 5

Yanga wanasiri gani kupendwa na Marais, au ndo maana halisi ya timu ya Wananchi?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Jezi ya wananchi
1688621656107.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tusipokuwa makini mtasikia Young Africans Sports Club wameenda kumtambulisha mchezaji kwenye MKUTANO MKUU wa AU huko Ethiopia[emoji38][emoji1787] au pale mjini UN

[emoji117]Mpaka mama atoke madarakani mashabiki wa Yanga wote watakuwa mabonge kama Mwakalebela[emoji125][emoji125]

**************"*********
Klabu ya Yanga imetambulisha kimya kimya jezi mpya za msimu wa 2023/2024 wakiwa nchini Malawi [emoji1156] ikulu .pamoja na Maraisi wawili wa Tanzania [emoji1241] na Malawi [emoji1156] leo July 5

YANGA wanasiri Gani kupendwa na Marais......au ndo maana halisi ya timu ya Wananchi!!!!!!!!

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
wivu unakusumbua sana
 
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea uhuru wa Nchi hiyo.

Kwenye video fupi ya tukio hilo Rais wa Club ya Yanga Engineer Hersi Saidi ameonekana akiwapatia Marais hawa jezi zao
huu ni ushindi mkubwa kwa propaganda kwa yanga
 
hizi jezi ni mbaya sana, hizi ni taka taka compared to jezi za misimu mitatu nyumba, hizi jezi ni mbaya mbaya mbaya, quality mbovu mbovu sana. hapana kwa kweli.
 
Huo upindo wa chini ikiwapendeza, wautoe. Haukuwa na ulazima
 
Back
Top Bottom