Yanga yaanza kumtenga Haji Manara, azungumza bila nembo za klabu na wadhamini wake

Yanga yaanza kumtenga Haji Manara, azungumza bila nembo za klabu na wadhamini wake

Eti VINYESI FC hahahhah tehehetehe kongole kwake Manaraaaaaaaaaaa
 
Nadhani alienda kuongea individual issues ndo maana hakuna nembo ya club wala ya GSM
Exactly hili ndio jibu ndio maana alilopokwa kama kakatwa kichwa huku akijua nyuma hamna nembo ya yanga wala wadhamini Wake 😎
 
Ushabikie njee au hata timu ndogo mtibwa sugar,azam fc,sijui nanini ila mimi nipo Simba timu yenye msimamo tokea miaka 3 nanyonya hadi sasa.
Kitu chata ya ushindi sio kwenu rangi ya mazingira.
Saivi msemaji mkuu ni chotara anaropoka ropoka hana haya kama mlevii.
Alivyokuwa simba chata ya ushindi ilikiwa imemtuliza kiburi ila huko yanga anavuta bangi.
Ulikua wapi siku zote shougaaaa. Nawaambiaga Simba ni timu na nusu
 
Wewe jamaa hata akili hauna ..issue yake binafsi team inaingiaje ..hivi vitoto vya 2000 vinajiandikia ili mradi kaandika jamii forum
 
Back
Top Bottom