Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

Kudaiwa ni kawaida
Hatuwezi kuvumilia mchezaji garasa tushindwe kuingiza mwingine
Yani kambole azibe nafasi ya azizi k?

Nyie mbumbumbu mvumilie tu Jobe na saidoo watu tubebe makombe
 
Kipindi ambacho Yanga itaanza kuyumba ndio tutajua uozo wa viongozi wao hata Simba ilikuwa inajificha kwenye mafanikio ila sasa hivi kila kitu kipo wazi Yanga nayo mda ukifika tutajua mengi ambayo yamejificha
Utasubiri sana 😄
 
Hivi hawa Utopolo wanamwanasheria Kweli..?

Kila Kesi Wanapigwa bao...! Kama yupo Timua haraka huyo Mwanasheria .
FIFA wachezaji wanashindia sana bila kujali aina ya mwanasheria. Hasa kesi za madai.

Utaambiwa tuoneshe mkataba wake. $7,000 kwa mwezi. Tuoneshe ushahidi wa malipo kupitia bank,huna. Timu imeshindwa,inatakiwa ilipe
 
Uongozi Janja janja mingi, una pesa ya mabango ila hauna pesa ya kulipa wachezaji.
Mbona zimezoeleka, tujiulize kuna dirisha hizi timu mbili Yanga na Simba zimewai kushindwa kabisa kusajiri kwa sababu ya madeni? Basi ndiyo ujue timu zitalipa hiyo pesa na mambo yataendelea kama kawaida dirisha likifunguliwa
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…