Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

Wangeanza kutangaza madeni wanayo daiwa wao kwanza kama mfano, unapo peleka barua ofisi kwenye taasisi unaenda kuiweka hadharani? nenda page ya FIFA kama utakuta kuna hizo taarifa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unachanganya boss, TFF ikishtakiwa kwa deni itakuwa hadharani hata isipokuwa kupitia wao. Yanga kudaiwa si sababu ya kuwekwa deni hadharani, deni limegeuka kesi ndo maana imekuja hadharani.
 
Unachanganya boss, TFF ikishtakiwa kwa deni itakuwa hadharani hata isipokuwa kupitia wao. Yanga kudaiwa si sababu ya kuwekwa deni hadharani, deni limegeuka kesi ndo maana imekuja hadharani.
OM [emoji1026]
Clube de Agosto [emoji1029]
Academie Sportive Ayema [emoji1047]
Eding Sport de La Lekie [emoji1062]
DC Motema Pembe [emoji1078]
Saint Lupopo [emoji1078]
TP Mazembe [emoji1078]
Eastern Company SC [emoji1093]
Haras El Hodod [emoji1093]
Misr Makassa [emoji1093]
Zamalek SC [emoji1093]
Malabo Kings [emoji1095]
Adama City [emoji1098]
JCFC [emoji1098]
Pacific Heroes [emoji1110]
Horoya AC [emoji1119]
Sofapaka FC [emoji1139]
Ahly Tripoli [emoji1149]
IR Tanger [emoji1173]
Maghreb de Fès [emoji1173]
MC Oujda [emoji1173]
Raja Club Athletic [emoji1173]
Wydad AC [emoji1173]
Club AS [emoji1183]
Plateau United [emoji1184]
Kiyovu Sports Association [emoji1206]
Richards Bay [emoji1221]
Royal AM [emoji1221]
Biashara United [emoji1241]
Fountain Gate FC [emoji1241]
Singida Big Stars FC [emoji1241]
Tabora United [emoji1241]
Young Africans SC [emoji1241]
Club Africain [emoji1249]
Club Sportif Sfaxien [emoji1249]
Etoile du Sahel [emoji1249]
Olympique de Beja [emoji1249]
Ben Guerdane [emoji1249]
Buildcon [emoji1268]
Kitwe United [emoji1268]
Lusaka Dynamos [emoji1268]

hapo juu ni orodha ya clubs zilizo pigwa ban kusajiri kwa madeni ya wachezaji nenda kwenye pages za mashirikisho yao kama utakuta hizo taarifa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Zamalek, Tp mazembe wamefungiwa mbona hamjaleta povu humu!
 
Attachments

  • Screenshot_20240430_152318_X.jpg
    Screenshot_20240430_152318_X.jpg
    321.9 KB · Views: 1
Unachanganya boss, TFF ikishtakiwa kwa deni itakuwa hadharani hata isipokuwa kupitia wao. Yanga kudaiwa si sababu ya kuwekwa deni hadharani, deni limegeuka kesi ndo maana imekuja hadharani.
Alf mimi siongelei habari za Yanga wala Simba nnacho sema TFF wanashindwa nini kuwasiliana na wanachama wao kuna kocha wa zamani wa Taifa stars anadai hela yake mbona hawajaweka Bango

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom