Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

Uongozi Janja janja mingi, una pesa ya mabango ila hauna pesa ya kulipa wachezaji.
Kuna janja janja kubwa zaidi ya kuchukua B 20 mfuko wa kushoto na kuhamishia mfuko wa kulia bila maandishi yoyote ya kisheria?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Uongozi Janja janja mingi, una pesa ya mabango ila hauna pesa ya kulipa wachezaji.
Huwezi kusema umetengeneza faida ilihali una madeni.

Lipa madeni kwanza ndipo utajua kama faida ipo au la
Yanga ni timu ya wote. Isipofanya makosa kama hayo unatarajia wewe ungeongea nini? Kuna vitu vinafanyika ili kumps kila mtu cha kuongea
 
Kudaiwa ni kawaida
Hatuwezi kuvumilia mchezaji garasa tushindwe kuingiza mwingine
Yani kambole azibe nafasi ya azizi k?

Nyie mbumbumbu mvumilie tu Jobe na saidoo watu tubebe makombe
Una upambavu na utaahira unaokusumbua!
Kama unaona ilichofanya Yanga ni sawa, basi wasilipe na kwa kuwa wameshafungiwa waendelee kuwatumia hao akina Aziz!
Na pia kama yapo magarasha mengine yatimueni, bila kuwalipa uone wengine wataagizwaje!
Hapa hoja si kuwaacha mlioona ni wabovu, walipeni maana bila kuwalipa rungu lazima liwakute kama ilivyotokea, na hakuna namna mtaweza kuepuka kulipa!
Msipolipa hakuna kusajili!!
 
Kudaiwa ni kawaida
Hatuwezi kuvumilia mchezaji garasa tushindwe kuingiza mwingine
Yani kambole azibe nafasi ya azizi k?

Nyie mbumbumbu mvumilie tu Jobe na saidoo watu tubebe makombe
Huyo Garasa aliletwa na nani?

Na sheria gani inayosema akiwa Garasa basi adhulumiwe?
 
Kipindi ambacho Yanga itaanza kuyumba ndio tutajua uozo wa viongozi wao hata Simba ilikuwa inajificha kwenye mafanikio ila sasa hivi kila kitu kipo wazi Yanga nayo mda ukifika tutajua mengi ambayo yamejificha
Nguvu za pesa zitatenganisha tu maji na mafuta, kwani Man City ilipanguaje zile tuhuma 115 za FFP kama si nguvu za pesa?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Una penda vibaya sana.

Hata sehemu ya kukosoa we utaunga mikono tu.
Kama umesoma maelezo yangu kwa utulivu, utagundua sijausifia huo ubabaishaji unaofanywa na viongozi wa Yanga.

Isipokuwa nimemaanisha tamaa na shauku yao ya kutaka kuifikisha Yanga kwenye kilele cha mafanikio, ndiyo inawaingiza kwenye hizo changamoto.
 
Hiyo shughuli wabia wetu crdb au bongo fm watatulipia vijipesa vidogo sana.
 
Una penda vibaya sana.

Hata sehemu ya kukosoa we utaunga mikono tu.
Hata akikosoa ni yale yale tu. Simba na Yanga huwa zinadaiwa na zinalipa na usajiri unaendelea kama kawaida. Maana hii sio mara ya kwanza.

Kwahiyo leo atadaiwa Simba, kesho atadaiwa Yanga ila kiufupi timu zote huwa zinalipa na hakuna timu imeanza msimu bila kusajiri miaka yote wanayofungiwa.
 
Mbona zimezoeleka, tujiulize kuna dirisha hizi timu mbili Yanga na Simba zimewai kushindwa kabisa kusajiri kwa sababu ya madeni? Basi ndiyo ujue timu zitalipa hiyo pesa na mambo yataendelea kama kawaida dirisha likifunguliwa
Kulipa lazima sababu rungu lipo usipolipa madeni yako.
 
Kuna janja janja kubwa zaidi ya zile za kuuchukua B 20 mfuko wa kushoto na kuhamishia mfuko wa kulia bila maandishi yoyote ya kisheria?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
FiFA wamechukua hatua gani?
 
Yanga ni timu ya wote. Isipofanya makosa kama hayo unatarajia wewe ungeongea nini? Kuna vitu vinafanyika ili kumps kila mtu cha kuongea
Naunga mkono hoja, Tukio la kitapeli ni la kulaaniwa na wote.
 
Yanga ni timu ya wote. Isipofanya makosa kama hayo unatarajia wewe ungeongea nini? Kuna vitu vinafanyika ili kumps kila mtu cha kuongea
Kama huyo niliyemquote asingesema hivyo, unafikiri ningesema?
 
Huyo Garasa aliletwa na nani?

Na sheria gani inayosema akiwa Garasa basi adhulumiwe?
Amedhulumiwa au atalipwa?
Ameenda kudai haki atalipwa wakati team yetu inafanikiwa
Nyie mnaoogopa kudhulumu mvumilieni Jobe na saidoo hati mkataba utamatike
Mbumbumbu mmelogwa.
Yaani taasisi ikae iwaze kuogopa madeni
 
FiFA wamechukua hatua gani?
Jibu ulichoulizwa wewe, ndiyomaana unafeli kindezi badala ya kufata maelekezo ya mtihani unajiandikia tu hata kisichohusiana na swali.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Back
Top Bottom