Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Kuna janja janja kubwa zaidi ya kuchukua B 20 mfuko wa kushoto na kuhamishia mfuko wa kulia bila maandishi yoyote ya kisheria?Uongozi Janja janja mingi, una pesa ya mabango ila hauna pesa ya kulipa wachezaji.
Una penda vibaya sana.Sometimes mafanikio lazima yaje na changamoto. Na hapo tutegemee na kimeo kingine cha Hafiz Konkoni.
Uongozi Janja janja mingi, una pesa ya mabango ila hauna pesa ya kulipa wachezaji.
Yanga ni timu ya wote. Isipofanya makosa kama hayo unatarajia wewe ungeongea nini? Kuna vitu vinafanyika ili kumps kila mtu cha kuongeaHuwezi kusema umetengeneza faida ilihali una madeni.
Lipa madeni kwanza ndipo utajua kama faida ipo au la
Una upambavu na utaahira unaokusumbua!Kudaiwa ni kawaida
Hatuwezi kuvumilia mchezaji garasa tushindwe kuingiza mwingine
Yani kambole azibe nafasi ya azizi k?
Nyie mbumbumbu mvumilie tu Jobe na saidoo watu tubebe makombe
Hivi umewahi kuikosoa Simba😁Una penda vibaya sana.
Hata sehemu ya kukosoa we utaunga mikono tu.
Huyo Garasa aliletwa na nani?Kudaiwa ni kawaida
Hatuwezi kuvumilia mchezaji garasa tushindwe kuingiza mwingine
Yani kambole azibe nafasi ya azizi k?
Nyie mbumbumbu mvumilie tu Jobe na saidoo watu tubebe makombe
Nguvu za pesa zitatenganisha tu maji na mafuta, kwani Man City ilipanguaje zile tuhuma 115 za FFP kama si nguvu za pesa?Kipindi ambacho Yanga itaanza kuyumba ndio tutajua uozo wa viongozi wao hata Simba ilikuwa inajificha kwenye mafanikio ila sasa hivi kila kitu kipo wazi Yanga nayo mda ukifika tutajua mengi ambayo yamejificha
Kama umesoma maelezo yangu kwa utulivu, utagundua sijausifia huo ubabaishaji unaofanywa na viongozi wa Yanga.Una penda vibaya sana.
Hata sehemu ya kukosoa we utaunga mikono tu.
Utopolo SC 7- 2 Makolokolo SC NBC PL 2023/2024...[emoji847]GSM TAPELI
Hata akikosoa ni yale yale tu. Simba na Yanga huwa zinadaiwa na zinalipa na usajiri unaendelea kama kawaida. Maana hii sio mara ya kwanza.Una penda vibaya sana.
Hata sehemu ya kukosoa we utaunga mikono tu.
Kulipa lazima sababu rungu lipo usipolipa madeni yako.Mbona zimezoeleka, tujiulize kuna dirisha hizi timu mbili Yanga na Simba zimewai kushindwa kabisa kusajiri kwa sababu ya madeni? Basi ndiyo ujue timu zitalipa hiyo pesa na mambo yataendelea kama kawaida dirisha likifunguliwa
Several timesHivi umewahi kuikosoa Simba😁
FiFA wamechukua hatua gani?Kuna janja janja kubwa zaidi ya zile za kuuchukua B 20 mfuko wa kushoto na kuhamishia mfuko wa kulia bila maandishi yoyote ya kisheria?
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Kwahiyo hakuna cha ajabu, timu huw zinalipa. Imeshakuwa vitu vya kawaidaKulipa lazima sababu rungu lipo usipolipa madeni yako.
Naunga mkono hoja, Tukio la kitapeli ni la kulaaniwa na wote.Yanga ni timu ya wote. Isipofanya makosa kama hayo unatarajia wewe ungeongea nini? Kuna vitu vinafanyika ili kumps kila mtu cha kuongea
Kama huyo niliyemquote asingesema hivyo, unafikiri ningesema?Yanga ni timu ya wote. Isipofanya makosa kama hayo unatarajia wewe ungeongea nini? Kuna vitu vinafanyika ili kumps kila mtu cha kuongea
Si ajabu kudaiwa ila ni ajabu kutokulipa mpaka utandikwe.Kwahiyo hakuna cha ajabu, timu huw zinalipa. Imeshakuwa vitu vya kawaida
Amedhulumiwa au atalipwa?Huyo Garasa aliletwa na nani?
Na sheria gani inayosema akiwa Garasa basi adhulumiwe?
Jibu ulichoulizwa wewe, ndiyomaana unafeli kindezi badala ya kufata maelekezo ya mtihani unajiandikia tu hata kisichohusiana na swali.FiFA wamechukua hatua gani?