Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 599
- 1,565
Hamna aliyetandikwa hapo sababu adhabu imetoka kipindi sio cha usajiri. Haina impact sana kwa sasa. Na kabla ya usajiri watakuwa wameshalipa. Miaka yote hiko hivyoSi ajabu kudaiwa ila ni ajabu kutokulipa mpaka utandikwe.
Hajatapeliwa, atalipwa tu😁,Naunga mkono hoja, Tukio la kitapeli ni la kulaaniwa na wote.
Tuanzishe kabisa kikundi cha maombi, tupige maimbi hadi hili litokeeKipindi ambacho Yanga itaanza kuyumba ndio tutajua uozo wa viongozi wao hata Simba ilikuwa inajificha kwenye mafanikio ila sasa hivi kila kitu kipo wazi Yanga nayo mda ukifika tutajua mengi ambayo yamejificha
Huu ni mtihani kumbe? Ubinadamu kweli kazi.Jibu ulichoulizwa wewe, ndiyomaana unafeli kindezi badala ya kufata maelekezo ya mtihani unajiandikia tu hata kisichohusiana na swali.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Ukishindwa kesi umetandikwa sababu si kuna gharama za kesi? Ungelipa kabla ya kesi ungeziepuka.Hamna aliyetandikwa hapo sababu adhabu imetoka kipindi sio cha usajiri. Haina impact sana kwa sasa. Na kabla ya usajiri watakuwa wameshalipa. Miaka yote hiko hivyo
Mtihani ni mfano unaohusika jinsi Watahiniwa kama wewe wanavyofeli mitihani kwa kutofata maelekezo ya maswali kiusahihi, umeamua kuhamisha mada [emoji848][emoji1787]Huu ni mtihani kumbe? Ubinadamu kweli kazi.
Kama hiyo gharama inaharibu budget structure ya mwaka kiasi kwamba Yanga au Simba itakosa nauli kwenda mikoani au kimataifa hapo sawa imechapwa.Ukishindwa kesi umetandikwa sababu si kuna gharama za kesi? Ungelipa kabla ya kesi ungeziepuka.
Boss, fimbo ukishachapwa umechapwa hata ikiwa ndogo.Kama hiyo gharama inaharibu budget structure ya mwaka kiasi kwamba Yanga au Simba itakosa nauli kwenda mikoani au kimataifa hapo sawa imechapwa.
Binafsi sina muda pia wakufundishwa upuuzi!Kama hujanielewa, ni bahati mbaya sana kwako. Muda wa kuwafundisha watu wazima kwa kweli sina.
tulipe madeni kwanza.Utopolo SC 7- 2 Makolokolo SC NBC PL 2023/2024...[emoji847]
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Wadau na mashabiki waelewe kinachoendelea. Kesho wakisikia club haisajili ila pesa ipo na kuna uhitaji waelewe sababu. Ni kama kampuni za uma zinavyoweka hesabu magazetini.Naomba kuuliza kwani TFF hua wanaulazima gani kuweka hizi barua public wakati ni mambo ya kiofisi?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wadau ni kina nani kama sio viongozi wa timu husika? ukisha wapa barua wahusika wao ndio wana jukumu kuwaambia wanachama wake kwani TFF haina madeni ni wapi hua wanatangazwa kua wanadaiwa?Wadau na mashabiki waelewe kinachoendelea. Kesho wakisikia club haisajili ila pesa ipo na kuna uhitaji waelewe sababu. Ni kama kampuni za uma zinavyoweka hesabu magazetini.
Suala la kuyumba kwa yanga liondoe akilini mwako, Kama ndio ndogo unayoitegemea ifute kwa wino mweusi, yanga keshaweka mifumo makini ya kufanya isimame imara ndio maana ya transformation, kwaiyo usiitegemee yanga ya bakuli kurudi tenaKipindi ambacho Yanga itaanza kuyumba ndio tutajua uozo wa viongozi wao hata Simba ilikuwa inajificha kwenye mafanikio ila sasa hivi kila kitu kipo wazi Yanga nayo mda ukifika tutajua mengi ambayo yamejificha
Mbona povu linakutoka sana shida Nini? Stress au kitu Gani? Timu ngapi zimefungiwa kusajili? Amefungiwa yanga mmepata chaka la kubwabwaja? Mchezaji atalipwa na usajili utafanyika tafuteni kingine!Una upambavu na utaahira unaokusumbua!
Kama unaona ilichofanya Yanga ni sawa, basi wasilipe na kwa kuwa wameshafungiwa waendelee kuwatumia hao akina Aziz!
Na pia kama yapo magarasha mengine yatimueni, bila kuwalipa uone wengine wataagizwaje!
Hapa hoja si kuwaacha mlioona ni wabovu, walipeni maana bila kuwalipa rungu lazima liwakute kama ilivyotokea, na hakuna namna mtaweza kuepuka kulipa!
Msipolipa hakuna kusajili!!
Hawajatangaza madeni, wametangaza adhabu iliyotokana na kesi ya madai. Kwani deni la Yanga ni hili tu? Mbona hayo mengine hawayatangazi?Wadau ni kina nani kama sio viongozi wa timu husika? ukisha wapa barua wahusika wao ndio wana jukumu kuwaambia wanachama wake kwani TFF haina madeni ni wapi hua wanatangazwa kua wanadaiwa?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ikiwa ndogo haina madhara ndiyo sababu kila mwaka zinakuja hukumu tena na ni hizi hizi ambazo hazina madharaBoss, fimbo ukishachapwa umechapwa hata ikiwa ndogo.
Wangeanza kutangaza madeni wanayo daiwa wao kwanza kama mfano, unapo peleka barua ofisi kwenye taasisi unaenda kuiweka hadharani? nenda page ya FIFA kama utakuta kuna hizo taarifaHawajatangaza madeni, wametangaza adhabu iliyotokana na kesi ya madai. Kwani deni la Yanga ni hili tu? Mbona hayo mengine hawayatangazi?
Kipa Mbrazil wa Simba,naye yu njiani kukatisha mkataba wake.
Kwanini hazina madhara? Huwa zinatengewa bajeti? Kwanini isitengwe bajeti ya malipo hata kwa awamu mchezaji asishtaki? Binafsi nadhani zina madhara sema kufungua kesi ni gharama na ni risk, unaweza usishinde, hii inawafanya wahusika wachukulie poa.Ikiwa ndogo haina madhara ndiyo sababu kila mwaka zinakuja hukumu tena na ni hizi hizi ambazo hazina madhara