Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Baada ya kutoridhishwa na majibu ya TFF leo jioni Club ya Yanga imefungua kesi ya malalamiko kwenye mahakama ya Usuluhishi wa michezo CAS
Yanga hawana imani na bodi ya ligi na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamua kusonga mbele (CAS) ili kudai haki yao.
Kwa Sasa malalamiko yameshafika CAS kinachosubiliwa ni taratibu Kisha kesi hiyo itasikilizwa.