Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

Ishu yoyote ya kesi hasa huko CAS yanga haijwahi kufanikiwa
Kwakua haijawahi kufanikiwa hivyo haitafanikiwa milele?
Usikute ni degree holder huyu. Kama reasoning za Watanzania walio wengi ndio dizaini hii,
PM Kassim Majaliwa hakukosea kuwataka hawa watu wa sampuli hii waende VETA.
 
Team mbumbumbu Kila anae coment anasema yanga watashindwa🤣yanga hawana akili,oh yanga Wana utoto,😄oh yanga blah!blah!blah!....kama ushabiki ndo inatakiwa uwe na reasoning ya namna hii!? basi Ismail Rage alikua sahihi kuwapa lile jina...(Mbumbumbu).😄
 
Kwakua haijawahi kufanikiwa hivyo haitafanikiwa milele?
Usikute ni degree holder huyu. Kama reasoning za Watanzania walio wengi ndio dizaini hii,
PM Kassim Majaliwa hakukosea kuwataka hawa watu wa sampuli hii waende VETA.
CAS hawasikilizi mazezeta
 
Baada ya kutoridhishwa na majibu ya TFF leo jioni Club ya Yanga imefungua kesi ya malalamiko kwenye mahakama ya Usuluhishi wa michezo CAS

Yanga hawana imani na bodi ya ligi na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamua kusonga mbele (CAS) ili kudai haki yao.

Kwa Sasa malalamiko yameshafika CAS kinachosubiliwa ni taratibu Kisha kesi hiyo itasikilizwa.

View attachment 3274482
GENTAMYCINE umeona hii

Yanga ina wanasheria wa kwenda CAS au huyu huyu Simon Esq?
 
Team mbumbumbu Kila anae coment anasema yanga watashindwa[emoji1787]yanga hawana akili,oh yanga Wana utoto,[emoji1]oh yanga blah!blah!blah!....kama ushabiki ndo inatakiwa uwe na reasoning ya namna hii!? basi Ismail Rage alikua sahihi kuwapa lile jina...(Mbumbumbu).[emoji1]
Vipi kuhusu luc eymael...kuwaita yanga ni kikundi Cha MANYANI NA MAMMBWA...aise mwafrika kuitwa nyani ni fedheha kubwa sana.
 
Back
Top Bottom