Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

Heri ukae kimya ufiche ujinga wako!
We ndio mjinga hujui chochote. Watu Wana ushahidi tena video na voice note za mipango ya ujinga wenu wametulia tu wanawachora. Tatizo lenu mlichelewa kuyakua haya mambo wakati wengine wanahangaika nayo...This time around mtaumbuka tena kwa kufanya mambo ya kukurupuka
 
Wewe mbumbumbu unahukumu kAma nani?
CAF ambalo ndo shirikisho la soccer Africa limeshindwa kesi mbili huko CAS dhidi ya Samuel Eto na Coach Amrouch aliyekuwepo Taifa stars
nipe kesi 1 yanga iliyowahi kushida huko cas.
 
bodi ya ligi imeona kuna uvunjifu wa amani na ukosefu wa usalama nyinyi mnaenda kuwashtaki..
aisee linawatokea puani
kwanza na mlivyo na rekodi mbovu ya kesi za huko cas hamtoboi
Uvunjifu wa amani you?
 
Kila la heri timu ya wananchi
TFF na Karia wametaka wenyewe kuiona nguvu ya Yanga
Hamna nguvu yoyote huko CAS mnapoteza muda wenu bure na hamjawahi kushinda kesi yoyote huko
 
bodi ya ligi imeona kuna uvunjifu wa amani na ukosefu wa usalama nyinyi mnaenda kuwashtaki..
aisee linawatokea puani
kwanza na mlivyo na rekodi mbovu ya kesi za huko cas hamtoboi
Nyie mbumbumbu sijui mli rogwa na nani ? Body ya ligi walipimaje uvunjifu wa amani, kwenye tukio kuna mtu aliumia au mali gani iliharibiwa?
 
🤣🤣🤣🤣 bro simba ameingiaj ugomvi wako na bodi ya ligi..
kweli ndo maana hamshindag kesi
Sasa we shabiki wa mbumbumbu mbona shobo inakupanda kwenye mambo ya Yanga na bodi ya ligi
 
Nyie mbumbumbu sijui mli rogwa na nani ? Body ya ligi walipimaje uvunjifu wa amani, kwenye tukio kuna mtu aliumia au mali gani iliharibiwa?
ona akili zako mbovu... unasubiri mpak mtu aumie ndo useme kuna uvunjifu wa aman..
daah yanga ina mashabiki viazi aiseee..

NDO MAANA MNASHINDWAGA KESI ZOTE.
MNASHINDAGA KESI ZA KISUTU ZA MAGOMA TU
 
Sasa we shabiki wa mbumbumbu mbona shobo inakupanda kwenye mambo ya Yanga na bodi ya ligi
coz umelitaja chama kubwa simba chama ambalo halijawahi ishia makundi🤣🤣🤣🤣🤣🦁🦁
 
coz umelitaja chama kubwa simba chama ambalo halijawahi ishia makundi🤣🤣🤣🤣🤣🦁🦁
Chama kubwa limepigwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Na Sasa lipo mashindano ya akina mama yaani shirikisho ambayo ni kama UMISETA
 
Back
Top Bottom