Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

kwa mashabiki hawa ndio mnatarajia kushinda kesi CAS...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna kitu hapo mkuu ..empty set. Mashabiki maandazi..hawana jezi, hawana kadi za uanachama, Hawana chochote
 
Nilikuaga namuona Eng. Hersi kijana Smart sanaa ila kumbe sikuwa sahihi.

Ngoja tusubiri the Supreme Verdict
Sifa za kuwa mtu smart ni zipi na sifa hizo zinaondikaje?

Nataka kuona kama kichwani una ubongo au lah.
 
Dah nahisi Yanga wanatumia hii agenda kupotezea au kujificha kichaka cha timu kuishia makundi. Maana haiingii akilini wewe ulete mabaunsa (ambao hawako kisheria) wazuie timu ngeni kufanya mazoezi then zitokee sintofahamu bodi iamue kuhairisha mechi kwa sababu za kiusalama halafu uende cas kudai points wakati huo huo kwenye muda rasmi wa game hata wewe hukuwepo uwanjani (kumbuka Yanga waliingia taifa saa 11 saa 12 wakasepa kwenda kufuturu) unadai vipi points 3
 
Hamjawahi shinda kesi za CAS.

mjiandae kutazama mechi za ligi daraja la 4
Young Africans vs Leo Tena
Yaani mimi shabiki wa Yanga mara 100 tushushwe daraja ama tufufutwe kabisa, ili vizazi vijavyo vikija vione haya kuliko kuona timu moja inaweza kuamua gomea mechi na malaka zinabariki..hii Safi sana
 
bodi ya ligi imeona kuna uvunjifu wa amani na ukosefu wa usalama nyinyi mnaenda kuwashtaki..
aisee linawatokea puani
kwanza na mlivyo na rekodi mbovu ya kesi za huko cas hamtoboi
Bodi imeona haya baada ya Simba kugoma? Mahakama zimewekwa ili zijadili kesi kushinda ama kushinda ni matokeo ya kesi hakuna ubaya
 
Yanga chamoto watakiona Sasa,wamejimaliza wenyewe
Cha moto kipi? Hii kesi ni tofauti na mnavyofikiria mbumbumbu wengi,,hii kesi Iko very technical kwenye masuala ya kikanuni sio mahaba ya mtu au busara za mtu tukae humo!
 
Ishu yoyote ya kesi hasa huko CAS yanga haijwahi kufanikiwa
Usiwe unakariri maisha na usidhani Kila siku ni jumapili hii kesi imesimamia masuala ya kikanuni zaidi na sio mahaba ya mtu au busara za mtu endeleeni kulishwa matango pori ni suala la muda tu Kila kitu kitakuwa wazi
 
bodi ya ligi imeona kuna uvunjifu wa amani na ukosefu wa usalama nyinyi mnaenda kuwashtaki..
aisee linawatokea puani
kwanza na mlivyo na rekodi mbovu ya kesi za huko cas hamtoboi
Chombo kinachothibitisha ukosefu wa amani ni jeshi la polisi na sio bodi ya ligi Wala tff,,vilaza kama nyie wengi wenu ni bendera fata upepo amjui ata msingi wa kesi ni upi mnapuyanga tu kama walevi!
 
Baada ya kutoridhishwa na majibu ya TFF leo jioni Club ya Yanga imefungua kesi ya malalamiko kwenye mahakama ya Usuluhishi wa michezo CAS

Yanga hawana imani na bodi ya ligi na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamua kusonga mbele (CAS) ili kudai haki yao.

Kwa Sasa malalamiko yameshafika CAS kinachosubiliwa ni taratibu Kisha kesi hiyo itasikilizwa.

View attachment 3274482
Sisi tunasubiri tarehe ya mechi tukipige na utopolo
 
coz umelitaja chama kubwa simba chama ambalo halijawahi ishia makundi🤣🤣🤣🤣🤣🦁🦁
Duuuh Hii Nchi wakoloni wakirudi leo watatutawala mda mrefu kuliko tulivyotawaliwa kipindi cha nyuma.
 
Back
Top Bottom