Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

ona akili zako mbovu... unasubiri mpak mtu aumie ndo useme kuna uvunjifu wa aman..
daah yanga ina mashabiki viazi aiseee..

NDO MAANA MNASHINDWAGA KESI ZOTE.
MNASHINDAGA KESI ZA KISUTU ZA MAGOMA TU
Unawezaje kusema kuna uvunjifu wa amani kama hakuna matukio ya aiana hio? vurugu za Mwanza na Pamba mbona hamkugomea mechi acheni kujifanya mademu mnajidekeza
 
ona akili zako mbovu... unasubiri mpak mtu aumie ndo useme kuna uvunjifu wa aman..
daah yanga ina mashabiki viazi aiseee..

NDO MAANA MNASHINDWAGA KESI ZOTE.
MNASHINDAGA KESI ZA KISUTU ZA MAGOMA TU
Wewe ulijuaje kama mtu angeumia?
Kwani Ile ndo ilikuwa mara ya kwanza Yanga na Simba kucheza?
Mbona wanacheAga na mechi zinaisha Kwa amani
 
Wewe mbumbumbu unahukumu kAma nani?
CAF ambalo ndo shirikisho la soccer Africa limeshindwa kesi mbili huko CAS dhidi ya Samuel Eto na Coach Amrouch aliyekuwepo Taifa stars
Hakuna kesi hapo.
Idara yenu ya sheria inapenda kesi lakini inashindwa hata kufafanua kanuni ambazo kila timu inazijua.
Baada ya kesi hiyo rudi hapa uniambiae kati ya mimi, wewe na idara ya sheria ya yanga nani mbumbumbu.
 
Hakuna kesi hapo.
Idara yenu ya sheria inapenda kesi lakini inashindwa hata kufafanua kanuni ambazo kila timu inazijua.
Baada ya kesi hiyo rudi hapa uniambiae kati ya mimi, wewe na idara ya sheria ya yanga nani mbumbumbu.
Mbumbumbu ni wewe bila shaka
 
Chama kubwa limepigwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Na Sasa lipo mashindano ya akina mama yaani shirikisho ambayo ni kama UMISETA

IMG_20250318_000014.jpg


Hiyo umiseta si ndo ile mliyopeleka medali ikulu au umiseta ipi?...🤣🤣🤣
 
Yanga chamoto watakiona Sasa,wamejimaliza wenyewe
Baada ya CAS ni FIFA yule Boss wa TFF Wairesi Karia shabiki kindakindaki wa Simba anaejifanya anashabikia Coastal atakiona cha mtema kuni si anawakingia kifua wakina Almasi Kasongo na Steve Mngeto
 
Umbumbumbu ndo huu Sasa ulionao kama alivosema Rage
Nimekupiga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Na umekimbia kupigo cha 5
IMG_20250318_000014.jpg


NAONA HII PICHA UNAIPITA KAMA UNAAGA MAITI...🤣🤣
 
MMESHINDWA KESI NA KAGOMA NDO MUIWEZE BODI YA LIGI.

KESI PEKEE MNAZOWEZA KISHINDA NI ZA MAHAKAMA YA KISUTU DHIDI YA MZEE MAGOMA TU
 
mshabugia kiazi cha moto mdogo ushaanza kucheza sebene..

MTAKE MSITAKE MTALETA TIMU
HAMNA PWENTI 3 ZA MEZANI..
 
Back
Top Bottom