Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Yanga chamoto watakiona Sasa,wamejimaliza wenyewe
Heri ukae kimya ufiche ujinga wako!Yanga chamoto watakiona Sasa,wamejimaliza wenyewe
Hamjawahi shinda kesi za CAS.Baada ya kutoridhishwa na majibu ya TFF leo jioni Club ya Yanga imefungua kesi ya malalamiko kwenye mahakama ya Usuluhishi wa michezo CAS
Yanga hawana imani na bodi ya ligi na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamua kusonga mbele (CAS) ili kudai haki yao.
Kwa Sasa malalamiko yameshafika CAS kinachosubiliwa ni taratibu Kisha kesi hiyo itasikilizwa.
View attachment 3274482
Wewe mbumbumbu unahukumu kAma nani?Kama kuna ukweli kuhusu hili basi Yanga wanaenda kushindwa kesi nyingine huko CAS
Kesi hii inaenda kuongeza aibu kwenye idara ya sheria ya klabu hiyo
Umbumbumbuni Kuna mandondochaYanga wenye akili ni wawili tuu