Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

Ishu yoyote ya kesi hasa huko CAS yanga haijwahi kufanikiwa
Kwakua haijawahi kufanikiwa hivyo haitafanikiwa milele?
Usikute ni degree holder huyu. Kama reasoning za Watanzania walio wengi ndio dizaini hii,
PM Kassim Majaliwa hakukosea kuwataka hawa watu wa sampuli hii waende VETA.
 
Team mbumbumbu Kila anae coment anasema yanga watashindwa🤣yanga hawana akili,oh yanga Wana utoto,😄oh yanga blah!blah!blah!....kama ushabiki ndo inatakiwa uwe na reasoning ya namna hii!? basi Ismail Rage alikua sahihi kuwapa lile jina...(Mbumbumbu).😄
 
Kwakua haijawahi kufanikiwa hivyo haitafanikiwa milele?
Usikute ni degree holder huyu. Kama reasoning za Watanzania walio wengi ndio dizaini hii,
PM Kassim Majaliwa hakukosea kuwataka hawa watu wa sampuli hii waende VETA.
CAS hawasikilizi mazezeta
 
GENTAMYCINE umeona hii

 
Yanga ina wanasheria wa kwenda CAS au huyu huyu Simon Esq?
 
Vipi kuhusu luc eymael...kuwaita yanga ni kikundi Cha MANYANI NA MAMMBWA...aise mwafrika kuitwa nyani ni fedheha kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…