Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

Tabu bado ipo pale pale...
Nadhani sababu ya wao kuukimbia Chamazi itakuwa ni ile ishu ya kuwa exposed.

Ile misindano kwenye pharmacy zinazouza dawa za binadamu huwezi kuzipata.

Na mimi kabla ya ile footage kuwa leaked mara yangu ya mwisho kuona mibomba ile ya sindano ilikuwa kwenye movie ya Predator ya Anold Schwarzenegger.

Kwenye kile kipande ambapo Roboti alijeruhiwa akawa anatoka damu za kijani akawa anajitibia akatoa sindano. Basi ile sindano ndio nimekuja kuiona Chamazi kwenye ile footage

Your browser is not able to display this video.
 
Kikundi cha wahuni wanoajidunga sindano hawana akili..yanga kama machizi hivi na malofa..hawana rangi maalum za jezi zao kila rangi hawa malofa wanavaa
 
Wanajinduka masindano,hawajamaa kama machizi chizi hivi....rangi maalum hawana ni malofa kweli....mara wanapora ushindi wa timu zingine kwa kutumia marefa..

Yanga ni kikundi cha wahuni sio timu ya mpira ile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…