Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #141
Ilikuwa ni rahisi kuzihusisha na Yanga kufuatia kauli ya Afisa Habari wenu aliyoitoa siku moja kabla ya kuelekea kwenye mechi yenu.Zile picha mjongeo zilizopigwa na kusambazwa makusudi ulijua zilikuwa ni za yanga? Je yule mtu aliyeonekana anamwaga vitu kwenye camera ulijua ni yanga ni wa YANGA kabla ya mechi na Azam? Je unapokuwa na mechi si lazima timu mwenyeji ikague uwanja kwanza kwanini walikuwa wanakataa? Hizo ni sababu muhimu zilizoifanya yanga aondoke pale kwakuwa Azam ndio Wenye server ya CCTV camera kwa maana iyo walikuwa wanatumia zile picha kuichafua yanga kama taasisi, na zingekuwa za kweli tungewaelewa but dhumuni lao lilikuwa baya ndio maana wakafanya vile!
Kauli ya msemaji wenu ilikuwa na viashiria vya kutoa kibali kwa mashabiki wenu kufanya mambo ya ushirikina.