Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #121
Kasome vizuri vyanzo vyakoKuhusu ma bomba ya Sindano, kwanza hakuna dawa anayo chomwa mchezaji wakati wa mechi inaendelea iende ika mwongeze Nguvu wakati mechi inaendelea, Kama unaifahamu itaje.
Zile picha kusudi lake lilikua ni kwa Jamii isiyo fahamu namna Sayansi ya Tiba za michezo inavyo Fanya kazi na kuichafua Klabu.
Dawa iliyoingia kwa Iv injection huwa inaanza ku take effects haraka kwasababu imeingia kupitia vein