Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
My wetu atajinunisha ila kimoyomoyoo anafurahii,akiitaka Ipo kalibu yake sasaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo.
Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka.
Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane?
Tushike lipi sasa?
Tatizo ni uwanja au ni kocha?
Azizi Ki amekuwa extreme free kwenye kumbi za starehe akila shisha, kitu hatarishi kwa afya ya mchezaji lakini pia hata kwa regular person ambaye duties zake sio soka.
Bado hawalioni hilo kama tatizo wameenda kwenye uwanja?
Kwa research ndogo nikiyofanya kwa mashabiki wa Yanga waliokuwa wanazungumzia sababu za kupoteza kwa mchezo wengi walitaja udhaifu wa safu yao ya ulinzi.
Wengi walitaja kukosekana kwa wachezaji kadhaa ambao ni muhimili wa timu kuwa ndio sababu iliyo wagharimu kupoteza mechi.
Hii ya uwanja kuwa ni sababu sioni kama waliofanya maamuzi walifikiria sahihi au ndio zile emotions baada ya kufungwa.
View attachment 3148007
Simba ni bwana yenu...juzi bila msaada wa kayoko mngekichezea kichapo...Tunaenda kuishi na my wetu geto moja
Kayoko ndo naniSimba ni bwana yenu...juzi bila msaada wa kayoko mngekichezea kichapo...
Umeanza kupenda mpira lini?Isije ikawa herd following.Kayoko ndo nani
Tumehama viwanja viwiliNyie mlihama viwanja vingapi? Mmeona maajabu kwa yanga kwenu aaah? Wameamua kuhama ayo ni maamuzi yao usiwapangie kama ambavyo awakuwapangia nyie kuhama!
Unaikumbuka hii mechi? Iliishaje?Ndugu mbumbumbu kwanza inaonekana ni mchanga sana katika mambo ya mpira wa miguu ya Nchi hii.
Yanga uwa inapigwa fain kwa kua haipiti kwenye maeneo yaliyo tegwa/mwagwa ushirikina wa timu pinzani kwakua uwa Wana advance part Yao inayo wapa taarifa ya Kila kitu kinachokua kimefanywa kabla ya mchezo kwaiyo uo si ushirikina bali ni kukiuka kanuni za mchezo na ndio maana hujasikia Tff iki iadhibu Yanga kwa taarifa Yao kuhusisha na ushirikina.
Mbona ujasema sababu ya kuhamia Arusha pia sheikh amri abeid? Alafu umetaja sababu zilizopelekea muhame viwanja sasa na yanga WANAZO sababu zao zilizopelekea wahame huo uwanja na sio iyo unayoishupalia kwani ni timu Gani uwa aifungwi hapa duniani? Man city mwenyewe kafungwa mechi 4 mfululizo sembuse yanga,, zipo sababu muhimu sana zilizopelekea wahame wao sio wajinga kuwaelekeza cha kufanyaTumehama viwanja viwili
Uhuru
Hiki kiwanja kilikuwa kina pitch mbovu halafu pia kilikuwa ni kidogo.
Lakini changamoto nyingine ya hiki kiwanja ilikuwa ni match broadcasting.
Kutokana na kiwanja hiki kupakana na kambi ya jeshi kuliwekwa masharti ambayo yaliilazimu Azam ku set Camera kwenye angle ambayo haikuwa friendly kwa waangaliaji wa mpira kwenye TV hivyo kusababisha kutopata clear view kwa baadhi ya incidents.
Hiyo ni sababu ambayo Club iliona hakuna haja ya kuendelea kuutumia uwanja huo.
Chamazi Complex
Hiki ni kiwanja ambacho Simba ilihamia baada ya zile changamoto ambazo nimezibainisha hapo juu.
Ilikuwaje Simba wakauhama tena huu uwanja wa Azam Complex ambao waliuona ndio chaguo bora?
Ni kwasababu ya Azam kutoiheshimu Simba.
Kivipi?
Kuna siku kadhaa Simba amefanya booking ya kiwanja manake kashalipia kila kitu na kwa mantiki hiyo uwanja upo katika umiliki wake mpaka atapomaliza jambo lake.
Lakini Simba inafika uwanjani inakuta wakina Djuma Shaban na crew nzima ya Azam FC wakiwa wanafanya mazoezi.
Hiyo ndio sababu iliyopelekea Simba kuondoka Chamazi Complex na kwenda KMC.
Lakini nyie baada ya kufungwa mechi mbili mfululizo ndio tumewaona mkikimbia huu uwanja.
Mlifikia hatua ya kuuita uwanja wa Azam Complex ni Max watano kwasababu tu mlikuwa mnapata ushindi tena wa kishindo kuliko wenyeji.
Mlipofungwa tu, kila kitu kime change. Naskia saizi mnauita ni Bakhressa watano sio tena Max watano.
Kwanza sio kweli kuwa Simba alipigwa faini ya kiasi hicho ulichokiandika.Simba ndio timu ambayo kwa miaka isiyo pungua kumi mfululizo imekua ilitajwa na Tff kujihusisha na ushirikina mojakwa Moja, yaani taarifa inaitaja Simba kujihusisha kufanya vitendo vya kishirikina kabla ya mchezo na iyo si apa Nchini tu ata Nje ya mipaka na mara ya mwisho Simba ilipigwa fain na CAF kulipa Dola 23000/=
Acha kulia nimekufunga mara nne mfululizoUnaikumbuka hii mechi? Iliishaje?
View attachment 3148482
Umesema mna ma spy ambao wanawapa info kuwa mlango rasmi kumewekwa dawa, sasa kwenye hii mechi mbona mlipita kwenye milango yenu ya kuruka ukuta na bado mkafungwa?
Spy aliwadanganya?
Lakini kingine sio kweli kuwa sababu ya nyie kuruka ukuta kumetokana na hofu ya kwamba Simba amemwaga dawa.
Napinga hii hoja yako kwasababu tumewaona mkiendelea na huo ushamba wenu hata pale ambapo nyinyi ndio wenyeji wa mchezo.
Maana yake uwanja upo kwenye miliki yenu mnaulinda na kuudhibiti lakini siku ya mechi ikiwadia mnafungua mageti mnaacha wazi lakini tunashangaa kuona Chama anapitia huku, Azizi Ki anahangaika kuruka ukuta.
Ni kweli nakubaliana na wewe kuwa zile footage zimetoka kwao, na sidhani kama kuna anayeamini otherwise.Tunasema Azam wamehusika kwakua zile picha na Video zimetoka katika majengo ya Taasisi Yao na hakuna mfanyakazi anaweza ku nyonya video au picha za taasisi na kutupia mitandaoni bila mwajiri wake kuhusuka/kufahamu.
Mahakama ni mahakama tu as long as itaenda kushughulikia tatizo na kutoa adhabu na nyie mkawa cleaned.Yanga hawawezi kulipeleka swala Mahakani kwakua hairuhusiwi mambo ya soka kwenda Mahakamani labda wangepeleka Tff kwakua wanazo kamati zifanyazo kazi kama mahakama ila ki uhalisia ni mambo yanayo kosa ushahidi wa Moja kwa Moja na Yalitengenezwa ili kuharibu image ya Yanga kwenye Jamii.
Shutuma nzito kama hiyo unathubutuje kusema ni sababu isiyokuwa na msingi?Yanga hawaja Toka hadharani kuishutumu Wala kuishitaki Azam kwakua kwasasa kufanya hivyo itaonekana kama ni kutafuta sababu zisizo na Msingi dhidi ya mechi walizo poteza ila ushahidi wa ki Mazingira inaonyesha hivyo.
Itakua ni kama Wazee wa Simba walivyo kua waki Bwabwaja vitu vya hovyo baada ya Matokeo yasiyo ridhisha na kutengeneza mijadala ya hovyo Nchini.
Kwa hiyo heroin hutumika michezoni?Yeyote ile as long as ita pass through Iv
Yani Azam kuwafunga ni uadui...?Nawapongeza Kwa maamzi haya
Azam kama hawajui Yanga ni mteja wao
Wao wanaleta uadui Kwa wateja, Sasa huu ni mwanzo
Na matangazo yetu tunahamia DSTV