Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo.

Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka.

Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane?

Tushike lipi sasa?

Tatizo ni uwanja au ni kocha?

Azizi Ki amekuwa extreme free kwenye kumbi za starehe akila shisha, kitu hatarishi kwa afya ya mchezaji lakini pia hata kwa regular person ambaye duties zake sio soka.

Bado hawalioni hilo kama tatizo wameenda kwenye uwanja?

Kwa research ndogo nikiyofanya kwa mashabiki wa Yanga waliokuwa wanazungumzia sababu za kupoteza kwa mchezo wengi walitaja udhaifu wa safu yao ya ulinzi.

Wengi walitaja kukosekana kwa wachezaji kadhaa ambao ni muhimili wa timu kuwa ndio sababu iliyo wagharimu kupoteza mechi.

Hii ya uwanja kuwa ni sababu sioni kama waliofanya maamuzi walifikiria sahihi au ndio zile emotions baada ya kufungwa.

View attachment 3148007
Ushirikina
 
Kama ni mtu unaye fikiri sawasawa na si mbumbumbu maamuzi yaliyofanywa na uongozi wa Yanga Yako sahihi.
1. Kuna video siku za karibuni ambayo ilimwonyesha mtu aliyekua akimwaga vitu mlango wa kuingilia uwanja wa Azam complex kabla ya mechi ya Yanga na Azam ili wekwa mitandaoni mtu uyo akihusiahwa na klabu ya Yanga.

Kitaalamu video Ile ili rekodiwa na Camera za CCTV za Azam Complex ambao ndio wamiliki wa uwanja.

Si jambo rahisi mfanyakazi wa kawaida wa idara ya usalama kunyonya video Ile na kui peleka mitandaoni kwa Caption ya aliyekua akifanya vile ana vinasaba na Yanga Bila uongozi wa Azam fc kushirikishwa.

Baadae mtu yuleyule aliye onekana kwenye Picha za CCTV camera akionekana amekaa jukwaani wakati mchezo unaendelea akiwa karibu/pamoja na kikundi maalum Cha washangiliaji/wahamasishaji wa Azam fc.
Upo uwezekano mkubwa Azam wakishiriki katika propaganda za kuichafua Yanga kupitia mitandao ya kijamii.
2. Tukio la kuonekana kupitia video ya CCTV Camera za Azam complex ikionyesha taka zenye chupa tupu za maji chapa GSM pamoja na Mabomba ya Sindano ambayo wahusika walikua waki uaminisha umma kupitia mitandao ya kijamii kua taka zile zimetoka kwenye chumba Cha kubadilishia nguo Cha Yanga.

Jambo Lile la kuweka video za aina Ile haikufanywa kwa bahati mbaya ila kusudi lilikua Yanga ionekane uwa inawachoma wachezaji wake dawa za kuongeza Nguvu wakiwa mchezoni

Jambo la kusambaza video zile mojakwa Moja lilibarikiwa na uongozi wa Azam fc kwakua mfanyakazi wa kawaida haiwezi kunyonya video za taasisi na kupeleka kwenye mitandao ya kijamii maana angewajibishwa.

Bahati mbaya Mbumbumbu wengi hawajui kua Doping Test uwa inafanywa kwenye michezo ya Ligi yetu na Yanga hawajawahi kukutwa na Tatizo.

Bahati mbaya Mbumbumbu wengi hawajui dawa za kusisimua misuli haiwezi kuchomwa mchezaji akiwa kwenye mechi, Dawa nyingi za zilizo katazwa michezoni wahusika utumia kwa muda mrefu kabla ya mechi na si sindano wakati mchezo ukiendelea au kabla ya mchezo.

Dawa izo kazi yake kubwa ninkumfanya mchezji aweze kufanya mazoezi kwa muda mrefu kuliko kawaida ili kwenye mchezo husika awe yupo vizuri.

Doping Test si lazima ifanywe wakati wa mchezo, inafanywa kabla ya mchezo wakati wa mchezo( Half time) Baada ya mchezo au wakati na muda wowote wataalamu watakapo ona inafaa.

Kikubwa lazima awepo Daktari wa timu Yako au mchezaji/ Kiongozi wa timu Yako kushuhudia wakati sample za damu au mkojo zinapo chukuliwa.

Apa kwenye Ligi yetu Doping Test zinafanyika ni wakati Sasa wa Tff na wahusika kufafanua na kuondoa wasiwasi kwa watu wenye mchecheto juu ya swala ilo.

Viongozi wa Yanga wamefanya tathmini sahihi kuondoka Azam complex na ndio maana ya kuwa timu kubwa maana Kuna taarifa za hujuma za uhakika unazipata kutoka ndani ya Uongozi wa Azam, Nini walikua waki kifanya nyuma ya pazia.

Hatuwezi kuandika yote itoshe kusema uongozi uko sahihi.

Twende KMC complex eneo linalo kwenda kutupa Ubingwa wa nne mfulululizo.
 
Ndo hivyo

Klabu ya soka ya Tanzania Young African imeomba kuutumia uwanja wa KMC uliopo kinondoni kuwa uwanja wake wa nyumbani Kwa mechi zote za ligi ya NBC na FA(CRDB bank Cup)

Haya ni matokeo ya kikao baada kulambishwa chupa tatu za asali na mainjinia wa kutengeneza asali wa Tabora.

Ngoja tuone this time utopolo wamekuja na style gani ya uchawi wa kuboost wazee🙏🙏
 
Kama ni mtu unaye fikiri sawasawa na si mbumbumbu maamuzi yaliyofanywa na uongozi wa Yanga Yako sahihi.
1. Kuna video siku za karibuni ambayo ilimwonyesha mtu aliyekua akimwaga vitu mlango wa kuingilia uwanja wa Azam complex kabla ya mechi ya Yanga na Azam ili wekwa mitandaoni mtu uyo akihusiahwa na klabu ya Yanga.

Kitaalamu video Ile ili rekodiwa na Camera za CCTV za Azam Complex ambao ndio wamiliki wa uwanja.

Si jambo rahisi mfanyakazi wa kawaida wa idara ya usalama kunyonya video Ile na kui peleka mitandaoni kwa Caption ya aliyekua akifanya vile ana vinasaba na Yanga Bila uongozi wa Azam fc kushirikishwa.

Baadae mtu yuleyule aliye onekana kwenye Picha za CCTV camera akionekana amekaa jukwaani wakati mchezo unaendelea akiwa karibu/pamoja na kikundi maalum Cha washangiliaji/wahamasishaji wa Azam fc.
Upo uwezekano mkubwa Azam wakishiriki katika propaganda za kuichafua Yanga kupitia mitandao ya kijamii.
2. Tukio la kuonekana kupitia video ya CCTV Camera za Azam complex ikionyesha taka zenye chupa tupu za maji chapa GSM pamoja na Mabomba ya Sindano ambayo wahusika walikua waki uaminisha umma kupitia mitandao ya kijamii kua taka zile zimetoka kwenye chumba Cha kubadilishia nguo Cha Yanga.

Jambo Lile la kuweka video za aina Ile haikufanywa kwa bahati mbaya ila kusudi lilikua Yanga ionekane uwa inawachoma wachezaji wake dawa za kuongeza Nguvu wakiwa mchezoni

Jambo la kusambaza video zile mojakwa Moja lilibarikiwa na uongozi wa Azam fc kwakua mfanyakazi wa kawaida haiwezi kunyonya video za taasisi na kupeleka kwenye mitandao ya kijamii maana angewajibishwa.

Bahati mbaya Mbumbumbu wengi hawajui kua Doping Test uwa inafanywa kwenye michezo ya Ligi yetu na Yanga hawajawahi kukutwa na Tatizo.

Bahati mbaya Mbumbumbu wengi hawajui dawa za kusisimua misuli haiwezi kuchomwa mchezaji akiwa kwenye mechi, Dawa nyingi za zilizo katazwa michezoni wahusika utumia kwa muda mrefu kabla ya mechi na si sindano wakati mchezo ukiendelea au kabla ya mchezo.

Dawa izo kazi yake kubwa ninkumfanya mchezji aweze kufanya mazoezi kwa muda mrefu kuliko kawaida ili kwenye mchezo husika awe yupo vizuri.

Doping Test si lazima ifanywe wakati wa mchezo, inafanywa kabla ya mchezo wakati wa mchezo( Half time) Baada ya mchezo au wakati na muda wowote wataalamu watakapo ona inafaa.

Kikubwa lazima awepo Daktari wa timu Yako au mchezaji/ Kiongozi wa timu Yako kushuhudia wakati sample za damu au mkojo zinapo chukuliwa.

Apa kwenye Ligi yetu Doping Test zinafanyika ni wakati Sasa wa Tff na wahusika kufafanua na kuondoa wasiwasi kwa watu wenye mchecheto juu ya swala ilo.

Viongozi wa Yanga wamefanya tathmini sahihi kuondoka Azam complex na ndio maana ya kuwa timu kubwa maana Kuna taarifa za hujuma za uhakika unazipata kutoka ndani ya Uongozi wa Azam, Nini walikua waki kifanya nyuma ya pazia.

Hatuwezi kuandika yote itoshe kusema uongozi uko sahihi.

Twende KMC complex eneo linalo kwenda kutupa Ubingwa wa nne mfulululizo.
Utetezi wako umejaa bias nyingi.

Swala.la ushrikina hilo sio mjadala wa kuanza kutumia nguvu kupinga kuwa umeonewa.

Ushirikina ni sehemu ya uendeshaji wa timu yenu kwasababu misingi yenu ipo zaidi kwenye utamaduni wa kiasili.

Bodi ya ligi imewalamba faini kwa michezo hiyo hiyo ya kishirikina sasa kuwatuhumu Azam kuwa wamewafanyia mchezo kuwachafua hiyo haiwezi kukubalika.

Kusema Azam wamewatengenezea script kwa kuonyesha video inayoonesha mabomba ya sindano. Sidhani kama ni hoja ya kweli.

Kwasababu gani nasema hayo.

Ni kwasababu Azam inajua ukubwa wa hiyo tuhuma na uhatari wake endapo ikafikishwa kesi mahakamani na mlalamikaji akawa ni Yanga akidai kuchafuliwa kwa shutuma za uongo.

Kama ni tukio la uongo, Azam angewezaje kuthibitisha mbele ya mahakama kuwa tukio hilo la hayo mabomba ya sindano yanaihusu Yanga?

Maana yake mpaka Azam aliamua kuachia hizo video ni kwamba alikuwa na confidence kuwa upo ushahidi mwingine extra ambao anaweza kuji defend iwapo Yanga ikaamua kumchukulia hatua za kisheria.

Swali ni kwanini Yanga haijasema chochote kuhusiana na shutuma hizo?

Kwanini Yanga haijapeleka malalamiko kwenye ngazi za mahakama ili kumuwajibisha aliyemchafua kwa tuhuma za uongo?
 
Nadhani sababu ya wao kuukimbia Chamazi itakuwa ni ile ishu ya kuwa exposed.

Ile misindano kwenye pharmacy zinazouza dawa za binadamu huwezi kuzipata.

Na mimi kabla ya ile footage kuwa leaked mara yangu ya mwisho kuona mibomba ile ya sindano ilikuwa kwenye movie ya Predator ya Anold Schwarzenegger.

Kwenye kile kipande ambapo Roboti alijeruhiwa akawa anatoka damu za kijani akawa anajitibia akatoa sindano. Basi ile sindano ndio nimekuja kuiona Chamazi kwenye ile footage
Haikushangazi mbona hawajapeleka ushahidi kwenye mamlaka husika?

Kuanzia TFF, CAF hadi FIFA wenyewe wote wanapinga doping leo ushahidi unapatikana mnachagua kupublish kwenye mitandao. Lengo ni nini?
 
Pengine lengo lao sio kuwakomoa mpate adhabu kali inayoweza kuidhohofisha Club.

Wao wamefanya hivyo kama kuwapa caution msiendelee na mchezo huo kwasababu ni nyie pekee ndio mnaojua mlichokifanya.

Kwa hiyo kama mliona mmechafuliwa why msiwachukulie hatua?
 
Video inaonesha yanga wakidungana sindano au mabomba ya sindano yakiwa na sambamba na chupa za maji ya GSM?..yule aliyekua akimwaga vitu sehemu ya kuingilia uwanjani ni kweli alionekana baadae akiwa na washangiliaji wa Azam?
 
Hakuna video inayoonesha Yanga wakidungana sindano.

Ila awali kulikuwa na hizo accusations but let me not dwell into that.

Footage ya Azam inayoonesha yale mabomba ya sindano ndio iliyofanya watu waunganishe dots.
 
Dawa gani ya kusisimua misuli iliyopigwa marufuku,hudungwa dk chache kabla ya mchezo kuanza?
 
Azam wanadai hata mkikimbia mechi ya marudiano itachezwa Chamazi.
Mechi iliyopita Yanga ndio walikuwa wenyeji kwa hiyo mechi ya marudiano Uwanja wa Azam Chamazi.Tabu ipo pale pale.
 
Azam utasema walicheza mpira wa maana siku ile,goli la penalty,yanga walikua pungufu na bado Azam akapaki bus,mechi ya pili watapigwa wachakae
 
Back
Top Bottom