Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

Ilikuwa ni rahisi kuzihusisha na Yanga kufuatia kauli ya Afisa Habari wenu aliyoitoa siku moja kabla ya kuelekea kwenye mechi yenu.

Kauli ya msemaji wenu ilikuwa na viashiria vya kutoa kibali kwa mashabiki wenu kufanya mambo ya ushirikina.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwaiyo kwa akili yako ndogo unaamini yanga anashinda kwa nguvu ya madawa?
Wewe kwa akili yako kubwa unadhani kwa nini wanaukimbia uwanja ambao walijitapa nao kuwa huo ni kama uwanja wao nyumbani? Zingatia futbol ni mchezo wa wazi.
 
Wewe kwa akili yako kubwa unadhani kwa nini wanaukimbia uwanja ambao walijitapa nao kuwa huo ni kama uwanja wao nyumbani? Zingatia futbol ni mchezo wa wazi.
Kwa maana iyo yanga ubora wa yanga ni sababu ya madawa kwa misimu yote mitatu? Kafika fainali kombe la shirikisho sababu ya madawa? Kacheza robo fainali klabu bingwa sababu ya madawa? Uko sawa kweli wewe kichwani?
 
Uto wanaishi kwa kufuata ramli chonganishi
 
Breaking News
Tabora United nao wameomba kwa Bodi ya ligi wahamishie mechi zao za nyumbani Uwanja wa KMC Mwenge.
Hawa Tabora United sijui wanataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…