Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

Ngapi jaman tujuzeni tupo polini kusikiliza Mpira tutaua chaji tuambien matokeo mpaka hivi ss
 
Wachezaji wa Yanga wanaonekana kuwa na pressure ya Simba kupoteza game 2,wanajua macho yote yapo kwao na hamu kuu ya mashabiki ni kuona wakipunguza pengo la point baina yetu na Simba.
Tupeni raha Tafadhali,mechi ya leo ni ya muhimu sana.
 
Namna gani Chirwa na Tambwe?
Aaaaarrrggghhhh [emoji35]
 
Hahahaaaa wa matopeni macho kodo, wanatamani tufungwe
 
Back
Top Bottom