Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

Tambweeeeeeee dah offside, nilishanyanyuka hapa kushangilia [emoji134] .
Yanga wanatandaza kandanda safi,roho kwatuuuu [emoji7]
 
Anachezea mpira kama yuko peke yake vile.

Halafu katupia Leo.

Round ya pili ya ligi nenda kamcheck fundi Niyonzima
Itabidi nifanye mpango aiseee,halafu sijawahi kwenda Taifa tukafungwa [emoji108].
Nikienda huwa navalia jezi yangu Original niliyoinunua 2012 Magomeni pale..Daaaah I miss those days [emoji17]
 
Itabidi nifanye mpango aiseee,halafu sijawahi kwenda Taifa tukafungwa [emoji108].
Nikienda huwa navalia jezi yangu Original niliyoinunua 2012 Jangwani pale..Daaaah I miss those days [emoji17]

Itabidi nikusindikize maana una pressure wewe ukifungwa balaaa
 
Ruvu Shooting wamefanya shambulizi hatari sana...Ya Raby roho yangu mimi [emoji134]
 
Alieanzisha huu uzi mbona matokeo yanabadilika bila mpango!1-1 ama 2-1?
 
Itabidi nikusindikize maana una pressure wewe ukifungwa balaaa
Yani [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Ndio maana siku hizi nimepunguza kwenda,naogopa kumake headlines kwa kuzimia uwanjani!
Ila niko na bahati,kila niendapo tunashinda...
Mechi pekee tuliyotoa draw ni ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zamalek.
 
Back
Top Bottom