Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruvu Shooting wamefanya shambulizi hatari sana...Ya Raby roho yangu mimi [emoji134]
Amen!Mungu saidia yanga
Mhhhhhh,huenda unayedhani ndiye au siye.Nifah kama nakumanya vile.
Anyway sio issue.
Twende pamoja: "🙂tupeni raha Yangaaa,🙂 tupeni rahaaa, ayeeeeeee" x 3🙂
Mhhhhhh,huenda unayedhani ndiye au siye.
Nitakucheki baadae.
Ayeeeeeeeee [emoji23]
Ulinunua magomeni ipi, natafuta sana originalItabidi nifanye mpango aiseee,halafu sijawahi kwenda Taifa tukafungwa [emoji108].
Nikienda huwa navalia jezi yangu Original niliyoinunua 2012 Magomeni pale..Daaaah I miss those days [emoji17]
Unatupa taarifa, lakini pia unatupa na mshtukoDakika za lala salama...Offside kwa Yanga.
Bora sasa wanajitahidi kufanya mashambulizi.
Japo ukuta muhimu mida hii [emoji12]
Majirani zetu jana waliongezwa dkk7 lkn hazikusaidia[emoji1]Dakika 4 za nyongeza
Yanga 2-1 Ruvu Shooting
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nafikiri hili tu la kuwa pamoja ndani na nje ya bongo kimpira linatosha,Kiba namkubali milele...Yaani me na wewe bongo na ulaya tupo pamoja kwenye mpira.tatizo lako ni moja tu unamuonea huruma sana ali kiba
Wakati wowote mpira utaisha,dakika zimeyoyoma kabisa.Bado dk ngapi kwani?
Lazima mpate zote mkuu,usipende kusikia upande mmoja.Unatupa taarifa, lakini pia unatupa na mshtuko