Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

Vise versa ya game ya mtani jana
-Mtani jana alianza kufunga 1 game ikaisha 2 1
-Wakimataifa leo wameanza kufungwa 1 game ikaisha 2 1
-Haya mambo kama u Freemason yani
 
Timu ipo vizuri akiendeleza falsafa hii hii hakuna shida kisha kama ana mfumo wake aende nao taratibu tutafika na hata wachanganya wachezaji

Mkuu Chama kwa huyu Mzambia wamelenga kwenye klabu bingwa Africa.
Binafsi naamini viongozi waliona tungeshiriki kocha akiwa Babu yangetokea yale yale ya mwaka huu.
Wacha tuone, Babu kesha play part yake tumsubiri Mzambia ngwe ya pili atatuletea nini.
 
Hili limeniumiza sana,chondechonde jamani tusijeharibikiwa.
Sijui kwanini ila nina hofu sana,sipo tayari kumuona Plujim akiondoka.

Nifah Binafsi naamini kwa Lwandamina Yanga wamelenga kwenye Club Bingwa Africa ambayo tutashiriki Mwakani.
Naamini viongozi wanataka kuona mabadiliko ya kiufundi, hii Kamari inachezwa, sijui mwisho wa Kamari hii.
Wacha tuone.
 
kali ya mwezi

14947791_359995587711843_6996484979838081226_n.jpg
 
Na mpiraaaaaaaaaaaaaaaaa
Umekwishaaaaaaaa
Rekodi inakwenda kujirudia.
Shukran Msuva na Niyonzima.

Hongereni mashabiki wote wa Yanga, daima Mbele...nyuma mwiko.
Dada upo vizuri kwa kutoa taarifa una taaluma ya uandishi nini?
 
Dada upo vizuri kwa kutoa taarifa una taaluma ya uandishi nini?
Hii ndio taaluma niliyokuwa nikiipenda,nilitamani sana kuwa mwandishi wa habari.
Bahati mbaya ndoto zangu hazijaweza kutimia...ndio maana natumia kipaji changu kutupia vionjo humu.
 
Nifah Binafsi naamini kwa Lwandamina Yanga wamelenga kwenye Club Bingwa Africa ambayo tutashiriki Mwakani.
Naamini viongozi wanataka kuona mabadiliko ya kiufundi, hii Kamari inachezwa, sijui mwisho wa Kamari hii.
Wacha tuone.
Tuombee kheri In Shaa Allah.
 
Back
Top Bottom