Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mpiraaaaaaaaaaaaaaaaa
Umekwishaaaaaaaa
Rekodi inakwenda kujirudia.
Shukran Msuva na Niyonzima.
Hongereni mashabiki wote wa Yanga, daima Mbele...nyuma mwiko.
Nimekupenda mwanake wewe NifahLazima mpate zote mkuu,usipende kusikia upande mmoja.
Asante sana mkuu,kwakweli nimefurahi sana.Ndo raha ya kuwa timu kubwa.........asante sana Nifah umeokoa bend vibaya Sana kwa updates!
Huyu mtangazaji huyu khaaaaaa, hadi sauti inakwama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sikio la kufa lile....Majirani zetu jana waliongezwa dkk7 lkn hazikusaidia[emoji1]
Mbaya zaidi wao wanogewa nabutamu wa kufungwaHizi ni taarifa mbaya sana kwa watani zetu
Asante sana mkuu,kwakweli nimefurahi sana.
Yanga tumeonesha ukomavu na busara sana,pamoja na matokeo mabovu tuliyopitia lakini tumeweza kushikamana hadi leo hii ile Yanga yetu ya ushindi imerejea.
Cheers
Hata mm sijapenda kabisa kushindwa kutumia nafasi zileHili la kukosa mabao litakuja kutughalimu siku moja Shukrani vijana huyu niyonzima anazidi kuwa mzima kila uchao
Yanga Sasa amgonge Simba Ligi kapuni.
Hakuna raha kama kumfunga mtani na kuchukulia Kombe point za mechi ya mtani .
Ni sawa na kutia mimba mechi ya bikra
hawa madogo wanakamia sana gemuu,.....Ruvu Shooting wamefanya shambulizi hatari sana...Ya Raby roho yangu mimi [emoji134]
Kweli ushindi mwembamba na nafasi tunatengeneza goli moja huwa halina mwenyewe.Hata mm sijapenda kabisa kushindwa kutumia nafasi zile