Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

Yanga daima mbele nyuma mwiko
 
Na mpiraaaaaaaaaaaaaaaaa
Umekwishaaaaaaaa
Rekodi inakwenda kujirudia.
Shukran Msuva na Niyonzima.

Hongereni mashabiki wote wa Yanga, daima Mbele...nyuma mwiko.

Tunafukuza Mwizi kimya kimya, yeye ana Mapanga sisi Mikono mitupu, lakini juu ya kuwa yeye ana Silaha sisi Mikono mitupu, kwenye kumfukuza kwetu hatumpigii kelele, kimya kimya.
Mwizi wetu kaanza kuogopa, muda si mrefu atatupa Silaha tumfanye tunachotaka.
 
Ndo raha ya kuwa timu kubwa.........asante sana Nifah umeokoa bend vibaya Sana kwa updates!
Asante sana mkuu,kwakweli nimefurahi sana.
Yanga tumeonesha ukomavu na busara sana,pamoja na matokeo mabovu tuliyopitia lakini tumeweza kushikamana hadi leo hii ile Yanga yetu ya ushindi imerejea.
Cheers
 
Hili la kukosa mabao litakuja kutughalimu siku moja Shukrani vijana huyu niyonzima anazidi kuwa mzima kila uchao
 
Asante sana mkuu,kwakweli nimefurahi sana.
Yanga tumeonesha ukomavu na busara sana,pamoja na matokeo mabovu tuliyopitia lakini tumeweza kushikamana hadi leo hii ile Yanga yetu ya ushindi imerejea.
Cheers

Nifah usiku mwema .........ulale salama na lazima niote Ushungi wakooo huo kichwani
 
Yanga Sasa amgonge Simba Ligi kapuni.

Hakuna raha kama kumfunga mtani na kuchukulia Kombe point za mechi ya mtani .

Ni sawa na kutia mimba mechi ya bikra
 
Back
Top Bottom