Yanga yaingia matatani na Jeshi la Tanzania, kauli zao kuwaponza

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Msemaji wa JKT RUVu jana akihojiwa AMESEMA YANGA WANAJAMBO WANALITAFUTA WALA SIO MPIRA MAMBO YA MPIRA YANAISHIA UWANJANI.KUITA TAASISI YA JESHI BOKO HARAMU HAYO NI MAMBO MENGINE yatakayoshughulikiwa kijeshi kwani taarifs zimeshafika makao makuu
MASAU BWIRE alisema HUYU BEKI MWAKA JANA PIA ALIMKABA Tambwe AKIWA SIMBA NA MASHABIKI WA YANGA WALIFURAHIA NA KUMPA HELA kwa jihadi ALIYOCHEZA LEO HII KAMKABA TAMBWE AKIWA YANGA WANAWAITA BOKO HARAMU.ALSHABABU na kadhalika.
 
Timu Polisi kesho washikisheni adabu hao Kandambili, maana naona wanaanza kuidharau taasisi yenu.
 
Huyo Bwire naye ni kilongalonga tu...

Mambo yanayotokea kwenye mpira wa miguu yanaamuliwa na taasisi husika...

Hii si nchi ya kijeshi kiasi kwamba wao kuitwa Boko Haram basi waoneshe ubavu na maamuzi ya kijeshi...

Kama hawawezi mambo ya michezo inayojumuisha raia basi waunde ligi yao...
 
Unawezaje kuiita taasisi ya jeshi ni Al shababu au boko haram? Kwa tendo lipi walilofanya linalofanana na matendo ya kigaidi
 
Masau Bwire na Thobius Kifaru wanaweza kukufunga hata kabla hujaingia uwanjani..hizo mbwembwe zake..

Na watu hawafikirii vzr, Mtibwa na JKT Ruvu huzisumbua sana timu 2 za sokoni baada ya kuskiliza maneno ya hao jamaa Wawili!
Kwa mf ktk hili, hapo ndio tyr Masau Bwire na keshamalizana na TFF!
"Taarifa zishafika makao makuu"
Masau Bwire anamaanisha taarifa zishafika NGOME
 
Wanaanza mizengwe ili wakimbie ligi baada ya kugundua ukibonde wao
 
Huyo Bwire naye ni kilongalonga tu...

Mambo yanayotokea kwenye mpira wa miguu yanaamuliwa na taasisi husika...

Hii si nchi ya kijeshi kiasi kwamba wao kuitwa Boko Haram basi waoneshe ubavu na maamuzi ya kijeshi...

Kama hawawezi mambo ya michezo inayojumuisha raia basi waunde ligi yao...

Jeshi halina muda wa kushughulikia mambo ya mpira, na kama likifanya hivyo basi Tanzania hatuna Jeshi! Overall kwao mpira ni kama sehemu ya kuimarisha ukakamavu. Jina Boko Haramu anaweza kupewa mtu ama taasisi yoyote kwani akutukanaye hakuchagulii tusi.
 
Msemaji wa JKT RUVu jana akihojiwa AMESEMA YANGA WANAJAMBO WANALITAFUTA WALA SIO MPIRA MAMBO YA MPIRA YANAISHIA UWANJANI.KUITA TAASISI YA JESHI BOKO HARAMU HAYO NI MAMBO MENGINE yatakayoshughulikiwa kijeshi kwani taarifs zimeshafika makao makuu
MASAU BWIRE alisema HUYU BEKI MWAKA JANA PIA ALIMKABA Tambwe AKIWA SIMBA NA MASHABIKI WA YANGA WALIFURAHIA NA KUMPA HELA kwa jihadi ALIYOCHEZA LEO HII KAMKABA TAMBWE AKIWA YANGA WANAWAITA BOKO HARAMU.ALSHABABU na kadhalika.

acheni mbwe mbwe hizo "manager" kwani hujawahi sikia watu wakisema " mnyama aua au apiga polisi nyumbani kwao...." n.k
 
masau bwire anachekesha yote hayo ni watu waliotoka vijijini anatishia nyau hizo amri ni kambini kwenu sio huku mitaani kama mnaubavu mkapambane na boko haramu kama hamjachinjwa kama kuku
 
Aaaaaaa wakimataifa mshauli uyo bwana waazishe ligi yao ya majeshi il
 
​hawa nao mishahara ya bure inawachanganya sana sasa ngoja vita ije watumikie mishahara yao
 
Huyo Bwire naye ni kilongalonga tu...

Mambo yanayotokea kwenye mpira wa miguu yanaamuliwa na taasisi husika...

Hii si nchi ya kijeshi kiasi kwamba wao kuitwa Boko Haram basi waoneshe ubavu na maamuzi ya kijeshi...

Kama hawawezi mambo ya michezo inayojumuisha raia basi waunde ligi yao...

Acheni longo longo nyieeeee
Maamuzi ya uwanjani yanafanywa na refa
Mkipewa kichapo mnalalamika
Jifunzeni ukomavu wa Simba
cc sembo grafani11
 
Last edited by a moderator:
Jeshi halina muda wa kushughulikia mambo ya mpira, na kama likifanya hivyo basi Tanzania hatuna Jeshi! Overall kwao mpira ni kama sehemu ya kuimarisha ukakamavu. Jina Boko Haramu anaweza kupewa mtu ama taasisi yoyote kwani akutukanaye hakuchagulii tusi.

Mkuu Makoye Matale

Nashukuru leo umejitokeza kabla sabato haijaanza...manake hatutarajii kukuona humu hadi jumatano ijayo

Mkuu,hili swala linanitatiza...mambo yametokea uwanjani..faulu za kawaida....wamevutana mashati wachezaji wa timu zote mbili...refa alifanikiwa kuamua na kufanya maamuzi yaliyoishia uwanjani.

Sasa haya ya nje ya uwanja mbona mnapiga siasa mkuu

Au mnafanya siasa kwa sababu timu yenu inafanya vibaya.

Yanga ivi mnaamini ninyi hamuwezi kufungwa kwa haki?

Lazima msingizie Uchawi? na sababu zingine? mara taulo...mara gloves

yanga 1.jpg
yanga2.jpeg
yanga 3.jpg
yanag 4.jpg

cc Masuke Amavubi grafani11 sembo Bantu lady
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom